Wewe jamaa hujitambui kabisaa...!! Ukiona unajitoa ufahamu kisa uchi wa mke wa mtu na vihela anavyokupa Jua siku zako zinahesabika. Watu wanalogwa..watu wanauliwaa kisa wake za watu alafu nyie mkiokotwa msituni mmechinjwa watu wanaanza kuwaonea huruma kumbe ni upuuzi wako mwenyewe.
Mke wa mtu ni sumu ndugu wanaosema hivyo sio wajinga wewe kijana wa juzi unajiona shababi akati mume wake akimfukuza aje kwako hata Chupi huwezi mnunulia.. Nasema huyo jamaa ningekuwa ni mimi hakika ungekuwa kilema leo hii maana kukua ningekupunguzia mzigo wa maisha.
Sent using
Jamii Forums mobile app