OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Fungulia mbwa waifanye Utopolo matusi tupewe sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila ya hivi Uwanja ungepwaya sana
Hali uchumi inachangia pia kaka, watu wamepigika sanaHuwa siku zote nasema Watanzania mpira upo mdomoni
Hata ikiwa 3000 bado watu hawaingii uwanjani.Hali uchumi inachangia pia kaka, watu wamepigika sana
Mkuu, umefanya uchuguzi ndipo umekuja na hiyo hitimisho au ameongea tu? Ni lini kiingilio kikawa elfu tatu wiki ya wananchi na watu wakashindwa kuingia kwa wingi? Au lini iliwekwa kiingilio cha elfu tano au tatu Simba day na mashabiki wakashindwa kuingia kwa wingi? Au ni lini imechezwa mechi ya Yanga ya kimataifa kwa kiingilio cha elfu tatu na kisha mashabiki wakashindwa kuingia kwa wingi? Ukiachana na nchi za kiarabu, Tanzania ndio inayofuata kwa kupenda kuingia uwanjani kuangalia mpira, ila wengi wa watu wa namna hiyo ni wa kipato cha kawaida na wengi wao wanatoka hadi mikoani, sasa kiingilio cha elfu kumi ni nyingi kwao.Hata ikiwa 3000 bado watu hawaingii uwanjani.
Na ndio maana siku zote nasema viwanja vyetu vyapaswa kuwa vya watu 10000 hadi 25000 max
Tupe mtu wangu.🙏😂Oya jana tumelala la kimoja mna taarifa? Au niwape....
Hao watu walienda uwanjani kufanya nini?
Oya jana tumelala la kimoja mna taarifa? Au niwape....
Mlivyo na roho Mbaya, ile mvua yenu Jana ya kishirikina imedhinitiwa ndio inanyesha leo Dar, mmetumia kila njia Tamasha lisifane lakini aibu kwenu, tamasha limefana na upande wa vikosi viwili niongee au niishie hapa?