Uchaguzi 2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

Gwajima anatosha Kwa Kawe!

Kuna outstanding issues ambazo kupitia yeye atashirikiriana na Serikali kuzitatua!

Hakika Gwajima ni atatosha!
 
kule kijijini watajua gwajima anamadwaaaa anamadaw, kumbe mtu ana zero πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Gwajima anatosha Kwa Kawe!

Kuna outstanding issues ambazo kupitia yeye atashirikiriana na Serikali kuzitatua!

Hakika Gwajima ni atatosha!

Kweli mkuu na akienda bungeni asisahau kuturekodia misambwanda ya mule wkt anaitafuna.
 
Kwa upinzani labda aletwe John Heche lakini Halima kushinda Safari hii majaliwa
 
Acha vitisho.
Lumumba mmezoea kunyamazisha watu kwa kuwateka,Risasi, kuua. Humu mmegonga mwamba. mtaandikwa tu.
Mwisho mnapaswa kujitathmini.....,Mmeua ,mmepoteza ,watu mmeteka watu,mmejeruhi watu na vitisho vya kila aina Bado watu wanawakosoa. kubalini yaishe Acheni watu wachague / Washabikie wapendacho.
 
Atakuja kusema Roho Mtakatifu amemlazimisha agombee Ubunge ili aipeleke Injili Mjengoni.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hapo ndio wananichoshaga Hawa. Ndugu zangu Roho mtakatifu kazi anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…