Video: Hali ya Kateshi jioni hii

Video: Hali ya Kateshi jioni hii

lengo ni kuwaamisha kama ngorongoro ili wachukuwe misitu, ilifanyika hawaii USA pia, walichoma moto mji mzima halafu watu hawakuruhusiwa kurudi wakapora ardhi, tegeni sikio mtaona kitakachofwatia.

kila kitu kimepangwa wanacheck boxes tu, walimchomoa waziri wa sheria ambaye huko ni kwao kwanza, halafu wakalipua mlima, btw kesi yake imefikia wapi ?
 
Mwawazo ya kijinga sana.
ccm yenu ina uwezo wa kutengeneza mvua?.

Katesh kuna msitu gani au hujui jiografia?
 
manyara hiyo, halafu unaongelea ccm sasa hivi kwani hata ipo? timing is everything ukiunganisha dots utapata kila kiti, subiri usikie kitakachofwatia, mara nyingi people who see forest for the trees misitu hupuuzwa mwanzoni, muda si mrefu mtaelewa kinachoendelea, ni satanic …
 
lengo ni kuwaamisha kama ngorongoro ili wachukuwe misitu, ilifanyika hawaii USA pia, walichoma moto mji mzima halafu watu hawakuruhusiwa kurudi wakapora ardhi, tegeni sikio mtaona kitakachofwatia.

kila kitu kimepangwa wanacheck boxes tu, walimchomoa waziri wa sheria ambaye huko ni kwao kwanza, halafu wakalipua mlima, btw kesi yake imefikia wapi ?
Hii nchi ina watu wajinga sana.. haya ndiyo mawazo ya vijana walio wengi huku Tanzania
 
lengo ni kuwaamisha kama ngorongoro ili wachukuwe misitu, ilifanyika hawaii USA pia, walichoma moto mji mzima halafu watu hawakuruhusiwa kurudi wakapora ardhi, tegeni sikio mtaona kitakachofwatia.

kila kitu kimepangwa wanacheck boxes tu, walimchomoa waziri wa sheria ambaye huko ni kwao kwanza, halafu wakalipua mlima, btw kesi yake imefikia wapi ?
Chai
 
We nae waziri alitokea babati huko ni hanang.
 
Back
Top Bottom