Video: Hali ya Kateshi jioni hii

Video: Hali ya Kateshi jioni hii

Kwamba hata haya mafuriko yako chini ya usimamizi wa watu,na ndo hao wameyaleta!!?😔😔😔
lengo ni kuwaamisha kama ngorongoro ili wachukuwe misitu, ilifanyika hawaii USA pia, walichoma moto mji mzima halafu watu hawakuruhusiwa kurudi wakapora ardhi, tegeni sikio mtaona kitakachofwatia.

kila kitu kimepangwa wanacheck boxes tu, walimchomoa waziri wa sheria ambaye huko ni kwao kwanza, halafu wakalipua mlima, btw kesi yake imefikia wapi ?
 
mvua zipo siku zote na huwa zina njia zake miaka yote na tumeishi nazo, teknolojia imekuwa sana watu wanatengeneza earthquakes wanaharibu mji mzima ije kuwa kingo za maji tu, dangerous times …
 
Mazingira tunayoishi tukijiona tupo salama siyo salama kama tunavyofikiria.

Hapo inawezekana kuna mzee ana miaka zaidi ya 80 hali hiyo hajawahi kuiona lakini leo pamekuwa hivyo anashangaa kama wanavyoshangaa vijana na watoto wa hapo Katesh
 
Hayo maji yataosha matope yote na kuondoka, nature kitu kingine
Mkuu huoni kama hizo streams zinatafuta permanent flows..
Nafikiri nature imewakataa binadamu huko Catesh...
No way..wahame..

It's sad to say this but ,watu wahame.

Nature can sometimes be brutal..this it.
 
Mbona huku dar habari ya wafanyakazi udart jangwani kuokolewa na kutolewa ,baada ya kuZungukwa na maji ina minywamijywa [emoji1]

Nyie wenye mamlaka bomoeni hizo ofisi za udart jangwani,

Ova
 
Akili za kimavi mavi lazima ccm waendelee kututawala maana akili zenyewe ndio hizi
 
lengo ni kuwaamisha kama ngorongoro ili wachukuwe misitu, ilifanyika hawaii USA pia, walichoma moto mji mzima halafu watu hawakuruhusiwa kurudi wakapora ardhi, tegeni sikio mtaona kitakachofwatia.

kila kitu kimepangwa wanacheck boxes tu, walimchomoa waziri wa sheria ambaye huko ni kwao kwanza, halafu wakalipua mlima, btw kesi yake imefikia wapi ?
Kwahyo serikali ndyo ilinyeshesha mvua?. Idiot
 
Kwa hiyo wameita mvua? Mganga wa mvua alikuwa babuyo?
 
Kwahyo serikali ndyo ilinyeshesha mvua?. Idiot

haya mambo yanafanyika, ukitaka kwa mfano kuiflood dar its easy kuyaelekeza maji mjini na kuleta mafuriko, maji ya mvua yanayofika dar kwa mfano yanatokea mbezi juu kibaha huko kuelekea baharini, kwa teknolojia ya leo kuiflood mitaa ya dar is very easy ukiamua …
 
Mkiambiwa mabadiliko ya tabia nchi ni ukweli usiopingika sio mnakaza mafuvu
Sehemu ambazo hazikufikirika kabisa leo zina ukame, zingine mafuriko....
 
lengo ni kuwaamisha kama ngorongoro ili wachukuwe misitu, ilifanyika hawaii USA pia, walichoma moto mji mzima halafu watu hawakuruhusiwa kurudi wakapora ardhi, tegeni sikio mtaona kitakachofwatia.

kila kitu kimepangwa wanacheck boxes tu, walimchomoa waziri wa sheria ambaye huko ni kwao kwanza, halafu wakalipua mlima, btw kesi yake imefikia wapi ?
Sio lazima kila kitu unachoona ujifanye mjuaji... mvua inahusika nini na matakwa ya watu?!
Kwaio unataka kusema maza anahusika na hayo mafuriko?!
 
lengo ni kuwaamisha kama ngorongoro ili wachukuwe misitu, ilifanyika hawaii USA pia, walichoma moto mji mzima halafu watu hawakuruhusiwa kurudi wakapora ardhi, tegeni sikio mtaona kitakachofwatia.

kila kitu kimepangwa wanacheck boxes tu, walimchomoa waziri wa sheria ambaye huko ni kwao kwanza, halafu wakalipua mlima, btw kesi yake imefikia wapi ?
Kama haujaaribiwa na movie basi una tatizo la locus of control,watu kama nyie hutafuta wapi wa kumtupia lawama katika kila tatizo linalomtokea,hata ukikojoa kitandani utamlaumu mkeo kwa kutokukuamsha usiku.
 
Back
Top Bottom