Video: Halima Mdee akiomba matengenezo ya barabara za Kawe bungeni

Video: Halima Mdee akiomba matengenezo ya barabara za Kawe bungeni

Mbunge mstaafu huyo;

Ila naamini Chadema wamejiandaa kumpa viti maalum.
 
Hii ndiyo kazi ya mbunge.Mbunge anaongea na waziri kupitia bunge. Magufuli na Gwajima alitaka Halima afanye nini zaidi?

Sasa akiomba hivi, halafu mwishoni mwa kupitisha budget anafunga mdomo anasema hapana, sasa hii akili au matope? Ulitaka serikali itekeleze kwa budget ipi, au uliyoikataa? Mwaka huu hatuchanganyi, ni mafiga matatu, hawa wametuchosha kufunga midomo na kutoka nje!
 
Shamba boy niko hapa mpaka kieleweke, tochi ya betirii3 haiwaki ukichanganya na bunzi/gunzi.

Sasa gunzi Mdee, Lissu, Mbowe, sugu, na wote wa aina ya mabunzi hawana nafasi. Huku shambani mabunzi ni kuni. Na mabunzi na muhogo ni dawa ya virusi/vimelea vya hii laana ambayo ndio sera ya Lissu na cdm waliyopewa na robertison kuileta Tanzania.
 
Back
Top Bottom