Sasa akiomba hivi, halafu mwishoni mwa kupitisha budget anafunga mdomo anasema hapana, sasa hii akili au matope? Ulitaka serikali itekeleze kwa budget ipi, au uliyoikataa? Mwaka huu hatuchanganyi, ni mafiga matatu, hawa wametuchosha kufunga midomo na kutoka nje!