Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
Kama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki
Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?
Najua Ingekuwa tanzania huyu mhalifu angepigwa kwa Mkono tu mpaka aachie kisu maana wanajeshi wetu wa huku kwa jinsi wanavyo tuonesha Tbc wakipasua mawe sidhani kama ingetumika BASTOLA.
MWISHO MUNGU IBARIKI TANZANIA AMANI ITAWALE KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMINA [emoji120]