Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ya huko hakika ni Hofu tupu Mungu Aijalie AMANI TANZANIA [emoji1241]Hatari sana, huko maisha ni ya hofu sana. Utafikiri ni muvi kumbe ni kweli.
Ila Hamas hakuwa na nguvu za mwili mana yeye ndiye alimrukia mwanajeshi, lakini mwanajeshi akawa shupavu na kumdondosha chini.
Jinsi tu alivyomrukia huyo askari inatosha kujua huyo gaidi ni mtu mwepesi, angekuwa ameiva shambulio moja tu huyo askari angekuwa tayar maiti lakini yy anamganda Ganda askari utafikiri anataka amle demu mate.Nini kimekufanya uwe na uhakika ni mtu wa kawaida tu? Mwili au ?
Raia ana uhakika gani kama jamaa hana siraha?
Vipi kama angekuwa na bomu?
Huyo aliemkandamizia hapo chini ni mmasai?
na hii ndio ilikua mara ya mwisho marehemu kuonekana akirukia wahuniKama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki
Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?
Najua Ingekuwa tanzania huyu mhalifu angepigwa kwa Mkono tu mpaka aachie kisu maana wanajeshi wetu wa huku kwa jinsi wanavyo tuonesha Tbc wakipasua mawe sidhani kama ingetumika BASTOLA.
MWISHO MUNGU IBARIKI TANZANIA AMANI ITAWALE KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMINA [emoji120]
Vipi kama aliambiwa amwachie ili askari ampige risasi?Jinsi tu alivyomrukia huyo askari inatosha kujua huyo gaidi ni mtu mwepesi, angekuwa ameiva shambulio moja tu huyo askari angekuwa tayar maiti lakini yy anamganda Ganda askari utafikiri anataka amle demu mate.
-Silaha aliyekuwa nayo ni hicho kisu kinahoonekana hapo au ww umeona AK 45?
-Kama angekuwa na bomu asingesubiri kumkaba kabari askari angelipuka tu
-Ni kweli amemkandamiza ila mwisho ameshindwa kumuhimili na kuishia kutimua mbio
Hivi Waislam wakoje lakini?Kama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki
Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?
Najua Ingekuwa tanzania huyu mhalifu angepigwa kwa Mkono tu mpaka aachie kisu maana wanajeshi wetu wa huku kwa jinsi wanavyo tuonesha Tbc wakipasua mawe sidhani kama ingetumika BASTOLA.
MWISHO MUNGU IBARIKI TANZANIA AMANI ITAWALE KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMINA [emoji120]
na hapo msumbiji mnapigania haki gan kwa kiwachinja na kuchoma nyumba za walalahoi ?Gaidi kwako ni muislam anaepigania haki yake. Mzalendo kwako ni mkiristo anaedhulumu wenziwe
Daaah! Hadi raha alivyouliwa gaidiKama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki
Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?
Najua Ingekuwa tanzania huyu mhalifu angepigwa kwa Mkono tu mpaka aachie kisu maana wanajeshi wetu wa huku kwa jinsi wanavyo tuonesha Tbc wakipasua mawe sidhani kama ingetumika BASTOLA.
MWISHO MUNGU IBARIKI TANZANIA AMANI ITAWALE KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMINA [emoji120]
mnataka nyinyi muue ila msiuliwe bali mdhibitiwe , shenz kabisa wauaji wakubwa nyiny , hakuna wa kuwatunza hapa dunianiKuna mantiki sana kwenye swali lako sema wengi wanakukejeli tu bila kuelewa!
Kuna jamaa alishamdhibiti vizuri huyo mwenye kisu na kabla hajafanikiwa kumpora kisu akaghairi alipoona afande kaelekeza "changamoto."
Kwanini askari asisaidiane na huyo raia mwema kumkamata huyo jamaa ili wakamuhoji zaidi? Ona sasa huwenda kapoteza taarifa muhimu kabisa ambazo alipaswa kuzichukua kutoka kwake
Lakini mimi naomba kujua je kila anayevamia askari kwenye hiyo nchi na kumshambulia ni gaidi wa hamas, au chanzo chako ulipoipata hiyo video ndo wamesema hicho ulichoandika?
Unauliza manundu kwa nyuki.
KAZI ya mwanajeshi ni kuua mtu anatmani bikira si anapewa haki yake.
Alitka kuua kauliwa yeye
Nianzie Chini kwenda juu asilimia 90 ni hamas _hamas ni Palestina na Palestina ni hamas (pia ni kutokana na source ya niliko ipata video)Kuna mantiki sana kwenye swali lako sema wengi wanakukejeli tu bila kuelewa!
Kuna jamaa alishamdhibiti vizuri huyo mwenye kisu na kabla hajafanikiwa kumpora kisu akaghairi alipoona afande kaelekeza "changamoto."
Kwanini askari asisaidiane na huyo raia mwema kumkamata huyo jamaa ili wakamuhoji zaidi? Ona sasa huwenda kapoteza taarifa muhimu kabisa ambazo alipaswa kuzichukua kutoka kwake
Lakini mimi naomba kujua je kila anayevamia askari kwenye hiyo nchi na kumshambulia ni gaidi wa hamas, au chanzo chako ulipoipata hiyo video ndo wamesema hicho ulichoandika?
Maislamu ni Mafala fulani yanayo amini kumpigania mungu badala ya mungu kuyapugania,ona sasa yanavyokufaHivi Waislam wakoje lakini?
Propaganda tu. Inawezekana wakiristo ndio wanaofanya hayona hapo msumbiji mnapigania haki gan kwa kiwachinja na kuchoma nyumba za walalahoi ?
Kwa nilichokiona hapo. Mwanajeshi hakuwa na jinsi ya kufanya kama alichokifanyaKama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki
Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?
Najua Ingekuwa tanzania huyu mhalifu angepigwa kwa Mkono tu mpaka aachie kisu maana wanajeshi wetu wa huku kwa jinsi wanavyo tuonesha Tbc wakipasua mawe sidhani kama ingetumika BASTOLA.
MWISHO MUNGU IBARIKI TANZANIA AMANI ITAWALE KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMINA [emoji120]
Propaganda tu. Inawezekana wakiristo ndio wanaofanya hayo
Israel na Palestina sio suala la dini we matako.Maislamu ni Mafala fulani yanayo amini kumpigania mungu badala ya mungu kuyapugania,ona sasa yanavyokufa