Hata mimi nashangaa.Huo ndo ukweli japokuwa wapo wanaolazimisha kuingiza Udini kwenye mgogoro huo.
Suala la Palestina na Israel mtu anaingizia udini kiasi kusema kama uislam usingekuwepo dunia ingekua salama.
Ndio maana nikamuuliza mjinga mmoja hapo juu vita za dunia,biashara ya utumwa ya mabara matatu,vita za kupindua utawala,ukoloni,mapigano ya mgawanyo wa Afrika je hayo yote yamesababishwa na uislam!?
Mpaka sasa hajajibu na kakimbia.
Kuna wakristu kibao wanauawa na IDF tena waanglican ila hilo wao hawalioni wanakimbilia udini.