Video: Hamas akimshambulia mwanajeshi. Je, ni sahihi mwanajeshi kutumia bunduki dhidi ya kisu?

Video: Hamas akimshambulia mwanajeshi. Je, ni sahihi mwanajeshi kutumia bunduki dhidi ya kisu?

Huyu mwenye kisu( nasita kumuita gaidi kwanza) atakuwa alikuwa anaimba ule wimbo wa kigaidi "Allahu Akbar, allahu akbar, Allahu akbar" ndo maana mwanajeshi akaona huu ni upumbavu akamfutilia mbali.
1000179727.jpg

Anawawahi hawa Bikra 72 kwa Allah.
 
Kuna mantiki sana kwenye swali lako sema wengi wanakukejeli tu bila kuelewa!

Kuna jamaa alishamdhibiti vizuri huyo mwenye kisu na kabla hajafanikiwa kumpora kisu akaghairi alipoona afande kaelekeza "changamoto."

Kwanini askari asisaidiane na huyo raia mwema kumkamata huyo jamaa ili wakamuhoji zaidi? Ona sasa huwenda kapoteza taarifa muhimu kabisa ambazo alipaswa kuzichukua kutoka kwake

Lakini mimi naomba kujua je kila anayevamia askari kwenye hiyo nchi na kumshambulia ni gaidi wa hamas, au chanzo chako ulipoipata hiyo video ndo wamesema hicho ulichoandika?
Weweee...
Easily said..

Siyo movie hyo mkuu...
Hiyo real encounter...
 
Huyu ni raia wa kawaida sio Hamas.
Ila shida dunia inaamini kila Mpalestina mpinga mzayuni ni Hamas.
Huyo ni mpslestina wa kawaida angeingia Hamas hapo pasingekalika muda huu.
Hamas Ni Ideology..as long as you are Palestinian you are one of them.. naturally
 
Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?
Amemchoma kisu damu zinamtoka unataka hamfanye nini km sio kumuwesha cha Moto? Halafu hivi HUONI sehemu aliyomfanyia vurugu ni sehemu gani yaan wewe uingie na kisu bank alafu uanze kuvamia Askari alafu wakuchekee wakati wana cha Moto kiunoni kwanini wasikuweshe? Unasema Bongo kufanyaje wangemchekea hadi wampokonye kisu? Nenda kajaribu siku moja uone km ujaonjeshwa chuma cha Matako, wanakuwesha tu wale wamefundishwa kuua adui na sio vinginevyo kwa hio ukitumia nguvu na wao wanatumia nguvu ukiambiwa jisalimishe ukajifanya kauzu wanakuwesha za kichwa kwisha habari yako
 
Kama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki

Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?

Najua Ingekuwa tanzania huyu mhalifu angepigwa kwa Mkono tu mpaka aachie kisu maana wanajeshi wetu wa huku kwa jinsi wanavyo tuonesha Tbc wakipasua mawe sidhani kama ingetumika BASTOLA.

MWISHO MUNGU IBARIKI TANZANIA AMANI ITAWALE KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMINA [emoji120]

Wewe ulitaka Mwanajeshi akae tu visu vimwingie kisa ni mpalestina na Mwislam? So akubali kufa kwa kuwa Jamaa anatafuta mabikra 72 kwa kisu na sio Bunduki?? Kuna kitu kinaitwa Rule of Engagement kwenye Vita ...aijalishi adui anaanza na silaha gani!! Aki angage We ni kumjibu kwa vitendo ata kwa bomu la Neucler . Shujaa achagui Silaha
 
Kama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki

Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?

Najua Ingekuwa tanzania huyu mhalifu angepigwa kwa Mkono tu mpaka aachie kisu maana wanajeshi wetu wa huku kwa jinsi wanavyo tuonesha Tbc wakipasua mawe sidhani kama ingetumika BASTOLA.

MWISHO MUNGU IBARIKI TANZANIA AMANI ITAWALE KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMINA [emoji120]

Mhhh! Hii sio chai kweli? Magaidi (HAMAS) kamwe hawachangamani na IDF. Je hapo ni wapi ambapo hata huyo mdada na mkaka wanaonekana bize na simu? Mi nnavojua IDF wako vitani na sio kwenda mahali kama hapo bali ni kwenye mapigano kuwasaka HAMAS e.g. kwenye mahandaki. HAMAS kutembea na kisu badala ya AK 47 sidhani.
OK; ungekuwa wewe ungefanyaje? Usitake eti usawa ktk tukio la kuuawa na kujitetea.
 
Amemchoma kisu damu zinamtoka unataka hamfanye nini km sio kumuwesha cha Moto? Halafu hivi HUONI sehemu aliyomfanyia vurugu ni sehemu gani yaan wewe uingie na kisu bank alafu uanze kuvamia Askari alafu wakuchekee wakati wana cha Moto kiunoni kwanini wasikuweshe? Unasema Bongo kufanyaje wangemchekea hadi wampokonye kisu nenda kajaribu siku moja uone km ujaonjeshwa chuma cha Matako, wanakuwesha tu wale wamefundishwa kuua adui na sio vinginevyo kwa hio ukitumia nguvu na wao wanatumia nguvu ukiambiwa jisalimishe ukajifanya kauzu wanakuwesha za kichwa kwisha habari yako
Malizia kwa kusema ndo maana tunaenda range mara kwa mara na kila anaeenda range anajitahidi alenge bull.
 
Kama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki

Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?

Najua Ingekuwa tanzania huyu mhalifu angepigwa kwa Mkono tu mpaka aachie kisu maana wanajeshi wetu wa huku kwa jinsi wanavyo tuonesha Tbc wakipasua mawe sidhani kama ingetumika BASTOLA.

MWISHO MUNGU IBARIKI TANZANIA AMANI ITAWALE KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMINA [emoji120]

Duh magaidi ni roho ngumu, ni watu hatari.
 
Duuh...! Hii inaingiaje hapa?.

Wapo walioongezewa damu tu
Kuna mtoto kazaliwa nao toka kwa mamaake. Huyu unamchukuliaje?. Usiongelee hiki kwa namna hii kama ulivyoongea hapa. Usifikiri wote walipitia njia ulizopitia wewe. Unawaumiza wengine kwa kejeri za kipumbavu.
Kwa maana ya ile njia moja ya ngono tu
 
Mhhh! Hii sio chai kweli? Magaidi (HAMAS) kamwe hawachangamani na IDF. Je hapo ni wapi ambapo hata huyo mdada na mkaka wanaonekana bize na simu? Mi nnavojua IDF wako vitani na sio kwenda mahali kama hapo bali ni kwenye mapigano kuwasaka HAMAS e.g. kwenye mahandaki. HAMAS kutembea na kisu badala ya AK 47 sidhani.
OK; ungekuwa wewe ungefanyaje? Usitake eti usawa ktk tukio la kuuawa na kujitetea.
Kwani unaweza kumtofautisha kwa sura myahudi na mpalestina? Ukumbuke kuna wapalestina wanaishi Israel hasa Jerusalem.
 
Kwani unaweza kumtofautisha kwa sura myahudi na mpalestina? Ukumbuke kuna wapalestina wanaishi Israel hasa Jerusalem.
Poa. Hiyo litakuwa inawezekana lakini mtoa mada angelitaja eneo hilo kuwa ni Jerusalem na tungemwelewa na asingelitumia jina la HAMAS bali ni mshambuliaji wa Kipalestina dhidi ya raia wa Israel.
 
Unaleta vibonzo visivyokua na ukweli kisa kuchafua mtume na uislam?
Pia hii iko nje ya mada.
Leta vibonzo utakavyo ila hilo halibadilishi kuwa ISRAEL-PALESTINE CONFLICT IS A TERRITORIAL CONFLICT NOT RELIGIOUS CONFLICT.
Huo ndo ukweli japokuwa wapo wanaolazimisha kuingiza Udini kwenye mgogoro huo.
 
Hamas Ni Ideology..as long as you are Palestinian you are one of them.. naturally
Ushapuyanga.
Hamas ndio ideology ya kupiga Israel insurgence ila huyo kakusudia Hamas Al qassam fighter.
Kwahiyo wataka kusema kila mwenye ideology ya kupinga utawala wa Uingereza kisa ni Mkenya naye ni MAU MAU FIGHTER!?
Jinga kabisa.
 
Duuh...! Hii inaingiaje hapa?.

Wapo walioongezewa damu tu
Kuna mtoto kazaliwa nao toka kwa mamaake. Huyu unamchukuliaje?. Usiongelee hiki kwa namna hii kama ulivyoongea hapa. Usifikiri wote walipitia njia ulizopitia wewe. Unawaumiza wengine kwa kejeri za kipumbavu.
Umenena vizuri. Inawezekana huyo ndg. hajui njia za maambukizi. By the way that is out of context. Hajautendea uzi huu haki.
 
Hapo jamaa alikuwa ana-shout alahu akibaru alahu akibaru akijua ameshafunga hesabu mapema saa nne asubuhi za kwenda kupokea bikra zake 72 zenye macho makubwa kama vikombe.
 
Adui usimchagulie silaha kubwa ni kuwahiana kutoana roho.Ni kosa kubwa sana kumdharau na kumkadiria padogo.
 
Adui usimchagulie silaha kubwa ni kuwahiana kutoana roho.Ni kosa kubwa sana kumdharau na kumkadiria padogo.
Yes exactly. Under field conditions; first come first saved. Tumia ulichonacho mkononi wakati huo. Usimkawize -hakuna mjadala.
 
Back
Top Bottom