uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Gaidi dawa yake ni risasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asipo elewa hii analogy , basi hatoelewa tenaMtu kautafuta ukimwi kauapata unaanzaje kumsikitikia
Kwani nimetaja uislam hapo au Neno gaidi ni uislam maana hamna nilipo andika uislamGaidi kwako ni muislam anaepigania haki yake. Mzalendo kwako ni mkiristo anaedhulumu wenziwe
Kwako waislam wa Gaza magaidiKwani nimetaja uislam hapo au Neno gaidi ni uislam maana hamna nilipo andika uislam
Sote tuseme allahukubaru!!Kama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki
Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?
Najua Ingekuwa tanzania huyu mhalifu angepigwa kwa Mkono tu mpaka aachie kisu maana wanajeshi wetu wa huku kwa jinsi wanavyo tuonesha Tbc wakipasua mawe sidhani kama ingetumika BASTOLA.
MWISHO MUNGU IBARIKI TANZANIA AMANI ITAWALE KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMINA [emoji120]
Jamaa kana maswali ya kipuuzi sana mkuu. Mtu anakuja kukuua utacheka naye?. Hapo angekufa askari angekuja na mada askari mdebwedo akilisifia gaidi. Afande kamuwaisha kwenye bikira 72 chapuMzee baba mbona unauliza maswali ambayo hata wewe waweza kuwa na majibu?
Huyo jamaa uliyemuita Hamas aliposhambulia kwa kisu mwanajeshi wa kizayuni, je lengo lilikuwa ni lipi kama si kuua?
Umeona huyo jamaa mwenye kisu alivyomkamata kichwa mjeda hapo kwa lengo la kukikandamiza kisu kwenye koromeo?
Je, unadhani huyo uliyemuita mwanamgambo wa Hamas angelikuwa na silaha ya moto, asingeliifyatua na kumuua mzayuni?
Kuna watu mambo madogo kama hayo wanashindwa kufikilia.Mzee baba mbona unauliza maswali ambayo hata wewe waweza kuwa na majibu?
Huyo jamaa uliyemuita Hamas aliposhambulia kwa kisu mwanajeshi wa kizayuni, je lengo lilikuwa ni lipi kama si kuua?
Umeona huyo jamaa mwenye kisu alivyomkamata kichwa mjeda hapo kwa lengo la kukikandamiza kisu kwenye koromeo?
Je, unadhani huyo uliyemuita mwanamgambo wa Hamas angelikuwa na silaha ya moto, asingeliifyatua na kumuua mzayuni?
Nini kimekufanya uwe na uhakika ni mtu wa kawaida tu? Mwili au ?Ila asilimia kubwa ya raia wa Israel wamelegea sana yaani mtu mmoja ana kisu wameshindwa kumkabili wanakimbia kweli? Na ukiangalia mtu mwenyewe wa kawaida mno wamekazania kuandamana tu bila kujua kwamba hiyo amani ya kuandamana nchini mwao inapatika kwa kazi kubwa kule Gaza.
Hapo kwenye video alikuwa .anapigania haki gani?Gaidi kwako ni muislam anaepigania haki yake. Mzalendo kwako ni mkiristo anaedhulumu wenziwe
AiseeeeMtu kautafuta ukimwi kauapata unaanzaje kumsikitikia
Safi sana. Sugu aliimba "Dawa ya jeuri ni kiburi"Kama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki