Video: Hamas akimshambulia mwanajeshi. Je, ni sahihi mwanajeshi kutumia bunduki dhidi ya kisu?

Yuda Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
778
Reaction score
2,764
Kama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki

Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?

Najua Ingekuwa tanzania huyu mhalifu angepigwa kwa Mkono tu mpaka aachie kisu maana wanajeshi wetu wa huku kwa jinsi wanavyo tuonesha Tbc wakipasua mawe sidhani kama ingetumika BASTOLA.

MWISHO MUNGU IBARIKI TANZANIA AMANI ITAWALE KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMINA [emoji120]

Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Mzee baba mbona unauliza maswali ambayo hata wewe waweza kuwa na majibu?

Huyo jamaa uliyemuita Hamas aliposhambulia kwa kisu mwanajeshi wa kizayuni, je lengo lilikuwa ni lipi kama si kuua?

Umeona huyo jamaa mwenye kisu alivyomkamata kichwa mjeda hapo kwa lengo la kukikandamiza kisu kwenye koromeo?

Je, unadhani huyo uliyemuita mwanamgambo wa Hamas angelikuwa na silaha ya moto, asingeliifyatua na kumuua mzayuni?
 
Wewe ni mpuuzi tu
 
Gaidi kwako ni muislam anaepigania haki yake. Mzalendo kwako ni mkiristo anaedhulumu wenziwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…