Video: Hamas akimshambulia mwanajeshi. Je, ni sahihi mwanajeshi kutumia bunduki dhidi ya kisu?

Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo kutumia bunduki dhidi ya gaidi ambae yeye anakisu tu hii imekaaje kwa wataalum mnao fahamu.?
Afande alikuwa anajilinda.
 
Sasa bila hiyo bastola huyu askari si angechomwa mavisu na huyu gaidi
 
Wewe ukikutana na kibaka teja uchochoroni akaanza kukushambulia na bisibisi wakati huo mfukoni una bastola utafanya nini?
 
Unaona Ustraarabu wa Waisrael, malijaribu kumzuia, wakimwambia kijana utakufa bure
 
Hata kombora sawa tu
 
Mwanamgambo wa Hamas alipaswa kuwa neutralized haraka kwa usalama pia wa ile nyomi yote. Mwanajeshi kafanya kitu sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…