Video: Hapa sisi Mashujaa tulichemka sana. Sina cha Kumlaumu Referee

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Huu ulikuwa utoto. Mbinu za kupoteza muda inabidi mwalimu afundishe bila hivyo tutakuwa tunalalamika na kuonekana tu vilaza mbele ya watu wenye Ilimu katika hii Duniya.

Screenshot_2025-05-04-07-49-51-944_com.twitter.android.jpg

Huu ni mfano wa match ambayo Azam walikuwa wameamua kupoteza muda katika Dk 7 zikaongezwa mpaka kufika 100 baada ya zile 90 za muda wa kawaida.

Chini video mchezaji wa Mashujaa akiona kama anafanya ujanja wa kupoteza muda. Kumbe anaonesha utoto tu wala si ujanja. The best way kupoteza muda ni kumiliki mpira .
 
Timu haina uwezo inalazimisha ishinde, mambo ya aibu kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20250504-085933.jpg
    Screenshot_20250504-085933.jpg
    367 KB · Views: 25
Hii timu imezoea kuonga marefa hata kwenye kile kikombe cha vikoba vya kina mama waliofika fainali kuna mwamuzi alichezea makonde kwa ujinga kama huu

Timu imejaza wachezaji vilaza inabidi waonge waamuzi ndio wapate ushindi
 
Matokeo ya hiyo mechi ya Mashujaa yanaweza kubadilishwa kwa Simba kupewa pwenti 3 na magoli 3. Mchezaji aliyeingia kuchukua nafasi ya golikipa aliyepewa kadi nyekundu hakuwa kwenye list ya sub zao, walimtoa jukwaani wakamuingiza.
 
Ficha upumbavu wako, kabla ya mchezo marefa wanakagua leseni za wachezaji wote watakao husika katika mchezo husika.
Timu zote mbili zinakua na majina ya wachezaji wote watakao shiriki mchezo na namba za mgongoni zitakazo tumika.

Vituo vya redio na Luninga wanapewa majina na namba wanazotumia wachezaji wote katika mchezo husika.
 
Mnapenda kurusha maneno ya kejeli kwa watu kirahisirahisi ila mkija kuaibika mnakimbilia kujificha kwenye sketi za dada zenu.
 
Matokeo ya hiyo mechi ya Mashujaa yanaweza kubadilishwa kwa Simba kupewa pwenti 3 na magoli 3. Mchezaji aliyeingia kuchukua nafasi ya golikipa aliyepewa kadi nyekundu hakuwa kwenye list ya sub zao, walimtoa jukwaani wakamuingiza.
Sio kweli alikua beki na alipigwa kadi ya njano
Karihe alikua analalamika sana antka kuingia ila sub zilikua zishakwisha ndo yule beki akaenda kukaa golini
 
Huu ulikuwa utoto. Mbinu za kupoteza muda inabidi mwalimu afundishe bila hivyo tutakuwa tunalalamika na kuonekana tu vilaza mbele ya watu wenye Ilimu katika hii Duniya.

View attachment 3324081
Huu ni mfano wa match ambayo Azam walikuwa wameamua kupoteza muda katika Dk 7 zikaongezwa mpaka kufika 100 baada ya zile 90 za muda wa kawaida.

Chini video mchezaji wa Mashujaa akiona kama anafanya ujanja wa kupoteza muda. Kumbe anaonesha utoto tu wala si ujanja. The best way kupoteza muda ni kumiliki mpira .
View attachment 3324083
Vyura watapita kama wanaanga maiti
 
Back
Top Bottom