Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Ficha upumbavu wako, kabla ya mchezo marefa wanakagua leseni za wachezaji wote watakao husika katika mchezo husika.Matokeo ya hiyo mechi ya Mashujaa yanaweza kubadilishwa kwa Simba kupewa pwenti 3 na magoli 3. Mchezaji aliyeingia kuchukua nafasi ya golikipa aliyepewa kadi nyekundu hakuwa kwenye list ya sub zao, walimtoa jukwaani wakamuingiza.
Mnapenda kurusha maneno ya kejeli kwa watu kirahisirahisi ila mkija kuaibika mnakimbilia kujificha kwenye sketi za dada zenu.Ficha upumbavu wako, kabla ya mchezo marefa wanakagua leseni za wachezaji wote watakao husika katika mchezo husika.
Timu zote mbili zinakua na majina ya wachezaji wote watakao shiriki mchezo na namba za mgongoni zitakazo tumika.
Vituo vya redio na Luninga wanapewa majina na namba wanazotumia wachezaji wote katika mchezo husika.
Sio kweli alikua beki na alipigwa kadi ya njanoMatokeo ya hiyo mechi ya Mashujaa yanaweza kubadilishwa kwa Simba kupewa pwenti 3 na magoli 3. Mchezaji aliyeingia kuchukua nafasi ya golikipa aliyepewa kadi nyekundu hakuwa kwenye list ya sub zao, walimtoa jukwaani wakamuingiza.
Vyura watapita kama wanaanga maitiHuu ulikuwa utoto. Mbinu za kupoteza muda inabidi mwalimu afundishe bila hivyo tutakuwa tunalalamika na kuonekana tu vilaza mbele ya watu wenye Ilimu katika hii Duniya.
View attachment 3324081
Huu ni mfano wa match ambayo Azam walikuwa wameamua kupoteza muda katika Dk 7 zikaongezwa mpaka kufika 100 baada ya zile 90 za muda wa kawaida.
Chini video mchezaji wa Mashujaa akiona kama anafanya ujanja wa kupoteza muda. Kumbe anaonesha utoto tu wala si ujanja. The best way kupoteza muda ni kumiliki mpira .
View attachment 3324083