Video: Harmo rapa akiwa katika utengenezaji wa video ya nyimbo yake mpya,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimezaliwa kuwa nafurahaa wacha nifurahi tu
 
Nnipm. Mkuu
 
Huyu jamaa wanavyo mpromote kwa bidii, mpaka ghafula atakuwa HB.
Kila mtu ni HB tatizo mazingira mtu aliokulia, mtu unakula ugali na mchunga au mgagani kila ukimeza tonge unakunja uso at the time unafikisha 20 years tayari sura inakuwa ngumu lakini fedha ikipatikana tabasamu na maisha ya furaha yanafanya mkunjo ya uso kunyooka automatically
 
Mkuu irine uwoya anawapenda sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…