Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gentleman haezi kuongea hizo maneno....hata maneno yake huwa ya ki gentleman piaHamoRapa ni mgonjwa wa akili.
ndikumana???[emoji23] [emoji23] [emoji23] anaongea tu yule nahisi ni kiki, kwani msami ana sura Chungu???
Hao wanaomcheka harmorapa ndo wanakesha masaloon kupaka makeup wanajua kila sina ya mikorogo at least wawe weupe wapate muonekano.wanashinda kwa wachina kunenepesha nyonyo na wowowo!!Hakika Mungu hajawah kosea katka uumbaji.Hivo usikufuru ndugu yangu.Hiyo unayoiona sura yako tam sekunde tu inaweza kuwa zaid ya binadam mwenzetu(Hamo)
Usiseme hivyo....Mambo yanaenda yakibadilikaMkuu that will never happen
mkuu kabla hujafa haujaumbika...kwa hiyo mshukuru Mungu kwa vile ulivyo..na hakuna makosa katika uumbaji wa MunguIla huyu kaka achilia mbali yote anayofanya ila ana sura chungu jamani daah , hivi wanawake wanapata wapi ujasiri wa kudate na huyu kaka asee , kama wanaune wote wameisha wamebaki kama kina harmorapa I rather be single asee[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13].. Mungu anisamehe[emoji120] [emoji120] [emoji40] [emoji40]![]()
Si ndo hapo sasandikumana???
Mkuu mbona bado yuko hivohivo au nyie mnamwangaliaje afu wanatofautiana bhana harmo katishaaUsiseme hivyo....Mambo yanaenda yakibadilika
unaona zamani ilivyokuwa?!
hehehe duuuuuuuuuHarmorapa ananyuka pamba Diamond anasubiri, na hiki kichupa kikitoka WASAFI tafuteni kazi nyingine yakufanya.
Sina cha kuongeza Mkuu kila kitu umesema!mkuu kabla hujafa haujaumbika...kwa hiyo mshukuru Mungu kwa vile ulivyo..na hakuna makosa katika uumbaji wa Mungu
Siku hizi wanasema kikubwa uwe na chapaa. Sura hata mbuzi anayoIla huyu kaka achilia mbali yote anayofanya ila ana sura chungu jamani daah , hivi wanawake wanapata wapi ujasiri wa kudate na huyu kaka asee , kama wanaune wote wameisha wamebaki kama kina harmorapa I rather be single asee[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13].. Mungu anisamehe[emoji120] [emoji120] [emoji40] [emoji40]![]()
Mtake radhi muumba wako let say wew ndo unahiyo sura utajiskiaje unapoambiwa hivo halafu wewe inaonekana unasura mbaya halafu mwanaume awe na sura nziri ili iweje fu*****Ila huyu kaka achilia mbali yote anayofanya ila ana sura chungu jamani daah , hivi wanawake wanapata wapi ujasiri wa kudate na huyu kaka asee , kama wanaune wote wameisha wamebaki kama kina harmorapa I rather be single asee[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13].. Mungu anisamehe[emoji120] [emoji120] [emoji40] [emoji40]![]()
Mwanaume hasifiwi urembo dadaIla huyu kaka achilia mbali yote anayofanya ila ana sura chungu jamani daah , hivi wanawake wanapata wapi ujasiri wa kudate na huyu kaka asee , kama wanaune wote wameisha wamebaki kama kina harmorapa I rather be single asee[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13].. Mungu anisamehe[emoji120] [emoji120] [emoji40] [emoji40]![]()