seph0408
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 1,180
- 703
Hajapata wa kumpeleka kwenye mambo yenu yale...mbele kioo, dating sio sura tu,kuna mengi hasa kwenu kama vigezo,Ila huyu kaka achilia mbali yote anayofanya ila ana sura chungu jamani daah , hivi wanawake wanapata wapi ujasiri wa kudate na huyu kaka asee , kama wanaune wote wameisha wamebaki kama kina harmorapa I rather be single asee[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13].. Mungu anisamehe[emoji120] [emoji120] [emoji40] [emoji40]![]()