Video: Harmo rapa akiwa katika utengenezaji wa video ya nyimbo yake mpya,

Video: Harmo rapa akiwa katika utengenezaji wa video ya nyimbo yake mpya,

Ila huyu kaka achilia mbali yote anayofanya ila ana sura chungu jamani daah , hivi wanawake wanapata wapi ujasiri wa kudate na huyu kaka asee , kama wanaune wote wameisha wamebaki kama kina harmorapa I rather be single asee[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13].. Mungu anisamehe[emoji120] [emoji120] [emoji40] [emoji40]
a71dc972097f518314508d0bcbda4c2d.jpg
Hajapata wa kumpeleka kwenye mambo yenu yale...mbele kioo, dating sio sura tu,kuna mengi hasa kwenu kama vigezo,
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Kwahiyo usishangae nawe ukakwama kwa mtu kama yeye au zaidi yake nasi tukakushangaa pia
Wanawake hawana "vichwa"...less thinking...hppy women's day
 
Back
Top Bottom