Video: Harmonize akicheza wimbo wa Jeje wa Diamond Platnumz

Harmonize ametumia technic nzuri ili kupunguza chuki za team WCB wanaomuandama na ukizingatia Harmonize Hana mashabiki wengi na amefanya hivyo ili kuongeza mashabiki wa WCB wampende.
 
Wacha apunguze msongo wa mawazo. Yule punda aliengia pale jerusalem na akapita juu ya yale mazuria na nguo za wale wakina mama akiwa amembeba yesu, ndo HARMONIZE sasa.

Emb fikria kama yule punda baadae angejiona yeye nae anathaman afu arudi pale jerusalem pekeake, akiwa hajambeba Yesu angeyapata yale mapokezi??

Si ajabu ata angerushiwa fimbo na mawe.Wakat mwngne tunafanikiw kulingana na watu tulionao.
HARMONIZE una mlima mrefu sana wa kupanda.
 
Kuweni makini, msishirikiane 🎤 kwasababu mnaweza kuambukizana Corona.
 
mpaka anastafu mziki mmakonde ngoma zitakazompa heshima milele ni zile alizotoa akiwa wcb pekee, hizi zingne naona atakua anapambania kupata views 5m

ningum sana kua international artist kama namba kwenye platform hazikubebi na hichi ndo kinampa wakati mgum konde hadi atafute huruma ya wcb fans kwa kucheza jeje
 
Harmonize ametumia technic nzuri ili kupunguza chuki za team WCB wanaomuandama na ukizingatia Harmonize Hana mashabiki wengi na amefanya hivyo ili kuongeza mashabiki wa WCB wampende.
Siyo Harmonize tu Ni Wasanii wote waliopo chini ya Label ya Wcb hawana Mashabiki, hata wewe siyo shabiki wa Rayvany
 
Wacha apunguze msongo wa mawazo. Yule punda aliengia pale jerusalem na akapita juu ya yale mazuria na nguo za wale wakina mama akiwa amembeba yesu, ndo HARMONIZE sasa.

Emb fikria kama yule punda baadae angejiona yeye nae anathaman afu arudi pale jerusalem pekeake, akiwa hajambeba Yesu angeyapata yale mapokezi??

Si ajabu ata angerushiwa fimbo na mawe.Wakat mwngne tunafanikiw kulingana na watu tulionao.
HARMONIZE una mlima mrefu sana wa kupanda.
sawa paster
 
Back
Top Bottom