NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
harmonize na chibu dangote the prezidaa of wcb international ni ndugu kabisa.mkubwa na mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda kuna kitu Kati ya hawa watu, tuwe na akiba ya maneno
Wivu wa nini sasa, kama hajui hajui tu cha msingi arudi nyuma ajipange upya na arudi tena kwenye gemu labda ninaweza muelewaAcha wivu
Tatizo mashabiki wengi wanajua kuwa WCB ni kundi badala ya lebal kama wewe unavyofikiriSiyo Harmonize tu Ni Wasanii wote waliopo chini ya Lebal ya Wcb hawana Mashabiki, hata wewe siyo shabiki wa Rayvany
Tatizo mashabiki wengi wanajua kuwa WCB ni kundi badala ya lebal kama wewe unavyofikiri
Kila siku unamkandia diamond mpaka umefikia hatua ya kumzushia kununua airtime MTV
Mpaka sasa sijaona uwepo wa kundi LA bongo fleva hata hao kina ROSTAM Roma na stamina,MOCOmoni cetralzone na country boy, SSK sisi sio kundi zaiid na p the mc
Ila kundi ni NUMBIRO Numbisa na Robidinyo
CC: innocent dependent
Mkuu mbona umeumia sana jamaa kuiponda WCB na mond,vipi wanakulipa nn?Tatizo mashabiki wengi wanajua kuwa WCB ni kundi badala ya lebal kama wewe unavyofikiri
Kila siku unamkandia diamond mpaka umefikia hatua ya kumzushia kununua airtime MTV
Mpaka sasa sijaona uwepo wa kundi LA bongo fleva hata hao kina ROSTAM Roma na stamina,MOCOmoni cetralzone na country boy, SSK sisi sio kundi zaiid na p the mc
Ila kundi ni NUMBIRO Numbisa na Robidinyo
CC: innocent dependent
Mbona na wewe unaumia kwa watu kusifia performance ya diamond?Mkuu mbona umeumia sana jamaa kuiponda WCB na mond,vipi wanakulipa nn?
Tatizo hastahili ila mnampaka sana mafuta mpka yeye mwenywe anashangaa kuwa eti ni Mimi huyu kumbe wapMbona na wewe unaumia kwa watu kusifia performance ya diamond?
Kama hastahili kwanini amepewa hiyo nafasi ya kuperform?Tatizo hastahili ila mnampaka sana mafuta mpka yeye mwenywe anashangaa kuwa eti ni Mimi huyu kumbe wap
KikiHuenda kuna kitu Kati ya hawa watu, tuwe na akiba ya maneno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe si ulileta habari ya rayvanny kuondoka WCB vip kulikoni?
Nguvu ya pesa brooKama hastahili kwanini amepewa hiyo nafasi ya kuperform?
So unataka kuniambia aliwahonga Hadi shirikisho la mpira Caf mpaka akaperform Mara mbili mfululizo kwenye ufunguzi wa michuano hiyo?Nguvu ya pesa broo
Sasa je?So unataka kuniambia aliwahonga Hadi shirikisho la mpira Caf mpaka akaperform Mara mbili mfululizo kwenye ufunguzi wa michuano hiyo?
Mzee baba acha chuki za kipuuzi kizuri siku zote kinajiuza pamoja ya clouds kuwa na bifu na diamond platnumz kwenye kipindi Cha Xxl Leo crew nzima ya Xxl wamemsifia diamond sasa wewe Ni Nani uwe mpingajiSasa je?
Kama hujui ni kuwa mambo yote anafanya meneja wake salam SK
Ni figisu za kutengenezwa tu hata Ile kipindi DJ khalled Ana mfollow,rockrose pia akamfollow yote ni nguvu ya pesa tu hamna kingine
Endelea kumpigania brooMzee baba acha chuki za kipuuzi kizuri siku zote kinajiuza pamoja ya clouds kuwa na bifu na diamond platnumz kwenye kipindi Cha Xxl Leo crew nzima ya Xxl wamemsifia diamond sasa wewe Ni Nani uwe mpingaji
kama umeandika point kumbe uchawi mtupu momo.Wacha apunguze msongo wa mawazo. Yule punda aliengia pale jerusalem na akapita juu ya yale mazuria na nguo za wale wakina mama akiwa amembeba yesu, ndo HARMONIZE sasa.
Emb fikria kama yule punda baadae angejiona yeye nae anathaman afu arudi pale jerusalem pekeake, akiwa hajambeba Yesu angeyapata yale mapokezi??
Si ajabu ata angerushiwa fimbo na mawe.Wakat mwngne tunafanikiw kulingana na watu tulionao.
HARMONIZE una mlima mrefu sana wa kupanda.
Tena clouds ndo wanafiki wa mwisho waleMzee baba acha chuki za kipuuzi kizuri siku zote kinajiuza pamoja ya clouds kuwa na bifu na diamond platnumz kwenye kipindi Cha Xxl Leo crew nzima ya Xxl wamemsifia diamond sasa wewe Ni Nani uwe mpingaji
Kwahiyo wote waliomsifia na wanaoendelea kumsifia wanatafuta cheo? Hiv uoni aibu kuwa pekee yako tu ndio unaopingaEndelea kumpigania broo
Tutakuona siku moja kakupa cheo