Video: Harmonize akicheza wimbo wa Jeje wa Diamond Platnumz

Huenda kuna kitu Kati ya hawa watu, tuwe na akiba ya maneno
Huyu bwege harmonize mziki hajui na hata kufata upepo pia hajui ndomana walimpamba kuwa anajua mziki kuliko hata mond hvyo atoke WCB na yeye akatoka kweli mwisho wa siku hatumsikii tena
 
Siyo Harmonize tu Ni Wasanii wote waliopo chini ya Lebal ya Wcb hawana Mashabiki, hata wewe siyo shabiki wa Rayvany
Tatizo mashabiki wengi wanajua kuwa WCB ni kundi badala ya lebal kama wewe unavyofikiri

Kila siku unamkandia diamond mpaka umefikia hatua ya kumzushia kununua airtime MTV

Mpaka sasa sijaona uwepo wa kundi LA bongo fleva hata hao kina ROSTAM Roma na stamina,MOCOmoni cetralzone na country boy, SSK sisi sio kundi zaiid na p the mc
Ila kundi ni NUMBIRO Numbisa na Robidinyo

CC: innocent dependent
 
Hahahaa nimeipenda hii numbiro hata ikiwa numbiko etc ID tamu sana hii
 
Mkuu mbona umeumia sana jamaa kuiponda WCB na mond,vipi wanakulipa nn?
 
So unataka kuniambia aliwahonga Hadi shirikisho la mpira Caf mpaka akaperform Mara mbili mfululizo kwenye ufunguzi wa michuano hiyo?
Sasa je?
Kama hujui ni kuwa mambo yote anafanya meneja wake salam SK
Ni figisu za kutengenezwa tu hata Ile kipindi DJ khalled Ana mfollow,rockrose pia akamfollow yote ni nguvu ya pesa tu hamna kingine
 
Sasa je?
Kama hujui ni kuwa mambo yote anafanya meneja wake salam SK
Ni figisu za kutengenezwa tu hata Ile kipindi DJ khalled Ana mfollow,rockrose pia akamfollow yote ni nguvu ya pesa tu hamna kingine
Mzee baba acha chuki za kipuuzi kizuri siku zote kinajiuza pamoja ya clouds kuwa na bifu na diamond platnumz kwenye kipindi Cha Xxl Leo crew nzima ya Xxl wamemsifia diamond sasa wewe Ni Nani uwe mpingaji
 
Endelea kumpigania broo
Tutakuona siku moja kakupa cheo
 
kama umeandika point kumbe uchawi mtupu momo.
 
Mzee baba acha chuki za kipuuzi kizuri siku zote kinajiuza pamoja ya clouds kuwa na bifu na diamond platnumz kwenye kipindi Cha Xxl Leo crew nzima ya Xxl wamemsifia diamond sasa wewe Ni Nani uwe mpingaji
Tena clouds ndo wanafiki wa mwisho wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…