Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Ila nitafurahi sana siku nikikuona tukapiga storyTatizo la wakristo wengi hawafahamu kuwa Yesu alikuwa Mpalestina.
Nimewahi kukutana na binti wa kiislam mrembo, mashaallah, siku moja tulikuwa tumetoka out, katika mazungumzo aliongea pumba, nikaomba mungu aniepushie kikombeTatizo la wakristo wengi hawafahamu kuwa Yesu alikuwa Mpalestina.
MATEKA SIO KIPAUMBELE BALI KIPAUMBELE KUWAUA WAARABU WA HAMAS HATA KAMA WAKIVAA KIRAIA NA KUJIFICHA KWA RAIA......IDF HAINA SHIDA MATEKAHizo story za kujipoza ili waonekane wamefanya kiti cha maana tumeshazichoka tunachouliza wapo wapi mateka????
BIBI USHAANZA UONGO WA KINAFIKI KUSEMA YESU ALIKUA MWARABU.......WAKATI HIYO PALESTINA JINA LIMEKUJA JUZI TU BAADA YA KUONDOKA WAKOLONI WA KITURUKI HAPO......1918Tatizo la wakristo wengi hawafahamu kuwa Yesu alikuwa Mpalestina.
Hata wao waarabu hawawezi kuwamaliza watu wanaopigania haki yao na wala hawatofanikiwa.......Si Qur'an 9:30 imewaambia waarabu na waislamu wawaue wayahudi ns wakrsto ila wameambulia patupu sababu allah amezidiwa nguvu na YEHOVAHuwezi kuwaangamiza watu wenye kupigania haki yao. Utawaumiza lakini hutawamaliza.
Naona unawapromoti wakoloni wa kiarabu zanzbar 🤣🤣🤣🤣![]()
Qur'an 5:169. Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi. 169
Atapata vidume 70 faiza foxyHuyo janamke uliyemchanganya hapo hajui hata atakavyofanywa siku ya qiyama! Wanaume twawabu yao bikra zisizokoma wala kuchoka utamu wake; yeye sana sana kuni za jahanamu!
Mkuu wewe mwenyewe unaongea kufikirika....hauna ushahidi zaidi ya mapokeo ya utamaduni wa kiarabu.....Kafiri unapata tabu wapi Max shimba ministry alikuwa kama wewe?
Na wanachapika haswa mpaka Watangazaji wa Al Jazeera wanatangaza huku wanataka kulia.Siku hizi yule msemaji wa Wizara yao ya Afya kachoka kila siku kutoa update ya vifo maana kipigo bado ni kikali na hakuna dalili ya 'Ceasefire'Mzee matusi hayasaidii wenzio wanachapika,,,,angalia al Jazeera
Naona linakuchoma kaa kwa kutulia , wagalatia mna nn?Mkuu wewe mwenyewe unaongea kufikirika....hauna ushahidi zaidi ya mapokeo ya utamaduni wa kiarabu.....
Au unao ushahidi mkuu unipe???
Sio wa maneno...bali wa kuonekana..
Mkuu mm nimekuuliza tu hayo mapokeo yako yana ushahidi au ni simulizi za kiarabu mkuu???Naona linakuchoma kaa kwa kutulia , wagalatia mna nn?
Ungejua maana ya neno kafri na gaidi lipi baya ?Usingekubali kuitwa gaidiMkuu nilikua nakujibu uliposema kafir hana thawabu au umesahay...maana najua hakunaga kitu kinaitwa thawabu duniani zaidi ya simulizi tu za kufikirika
NIKAKUAMBIA KUA NYOTE WAKRSTO NA WAISLAMU MNAFUATA MAPOKEO HAMNA UHAKIKA WALA USHAHIDI...
MKIWA KUHUSU THAWABU NAO NAUUOMBA ILA USIWE WA MANENO...
Mungu aitwae allah yupo wapi...mlete tumuone kama ni kweli yupo????Ungejua maana ya neno kafri na gaidi lipi baya ?Usingekubali kuitwa gaidi
Kafiri haamini Mungu basi ...Sasa kaangalie neno gaidi uone.
Swali langu lilikua ni kuhusu thawabu ndilo nililokuuliza ndugu yangu???Ungejua maana ya neno kafri na gaidi lipi baya ?Usingekubali kuitwa gaidi
Kafiri haamini Mungu basi ...Sasa kaangalie neno gaidi uone.
Hata mimi hapa hunijui ila tunachat ,niambie majini yangu mawili kwanza ntakuonyesha hapa Mungu alipo..Mungu aitwae allah yupo wapi...mlete tumuone kama ni kweli yupo????
Afu swali langu lilikua kuhusu thawabu mbona unalikwepa mkuu???
Au hukuliona???
Sijibu swali kwa sababu wewe mgalatia ndio maana neno kafiri limekuchoma😅😅Swali langu lilikua ni kuhusu thawabu ndilo nililokuuliza ndugu yangu???
Umeshindwa kujibu sababu hauna hoja na hakuna muislamu hata mmoja anayeweza kujibu maswali yangu.....hili neno kafir litanichomaje mtu nisiyeamini simulizi za kufikirikaSijibu swali kwa sababu wewe mgalatia ndio maana neno kafiri limekuchoma😅😅
Waislamu na waarabu hawawezi kujibu maswali ya wasomi kama sisi....sababu dini ni hekaya za kufikirika...Sijibu swali kwa sababu wewe mgalatia ndio maana neno kafiri limekuchoma😅😅