Video: Hawa hapa Watanzania na elimu yao kuhusu Kenya, kila siku wanatubishia humu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jamaa wanavyotokaga povu humu na elimu yao ya vijiweni kuihusu Kenya, yaani humu JF kila Mtanzania hudai kwamba kafika Kenya na kuiona Kibera. Hii video inaonyesha kwa wastani, kile Watanzania huwa wameaminishwa kuhusu Kenya.

Kusema ukweli Mimi sijawahi fika kibra ila najua ina- exist.
 
Jamaa wanavyotokaga povu humu na elimu yao ya vijiweni kuihusu Kenya, yaani humu JF kila Mtanzania hudai kwamba kafika Kenya na kuiona Kibera. Hii video inaonyesha kwa wastani, kile Watanzania huwa wameaminishwa kuhusu Kenya.

Haifunguki mkuu hamna ki2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wanavyotokaga povu humu na elimu yao ya vijiweni kuihusu Kenya, yaani humu JF kila Mtanzania hudai kwamba kafika Kenya na kuiona Kibera. Hii video inaonyesha kwa wastani, kile Watanzania huwa wameaminishwa kuhusu Kenya.

Define elimu ya vijiweni.
 
Hii video inaonyesha kwa wastani, kile Watanzania huwa wameaminishwa kuhusu Kenya.
Imebidi niiangalie hii clip mwanzo mwisho nione hcho kilichofanya ulete huu uzi wala sichakiona, zaidi ni ligi za kawaida za kila siku.
Au labda hujui maudhui ya vipindi kama hivi, kukusaidia tu ni kuwa hapo fanani anataka kila anayeangalia acheke kwa mtu kushindwa swali la mtego mdogo kama hilo, ndo maana anatafuta watu wa muktadha huo.
 
Wengi wenu wewe ukiwa hapo ni wa muktadha Huo.
 
kule wana education system mbovu sana...wenzetu hawa huwa hawaendi na wakati...wapo slow vile..
 
Jamaa wanavyotokaga povu humu na elimu yao ya vijiweni kuihusu Kenya, yaani humu JF kila Mtanzania hudai kwamba kafika Kenya na kuiona Kibera. Hii video inaonyesha kwa wastani, kile Watanzania huwa wameaminishwa kuhusu Kenya.

Tanzanians they don't care about kenya# they only care about their country and SADCC countries
 
hahahaha watani wa jadi kwenye ubora wenu
 
Hiyo SADC ndio mpo hoi maana hata lugha ya kuwasiliana nao ni majanga, nafuu Kenya mnaelewana na sisi kwa Kiswahili. Huwa mnazamia South kinyemela na kuhangaika sana huko.

Teh teh teh tihiii
hatuzamii sisi tunapewa free visa.
 
Hiyo SADC ndio mpo hoi maana hata lugha ya kuwasiliana nao ni majanga, nafuu Kenya mnaelewana na sisi kwa Kiswahili. Huwa mnazamia South kinyemela na kuhangaika sana huko.
South Africa hatuzamii we have visa free
 
Back
Top Bottom