Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haifunguki mkuu hamna ki2Jamaa wanavyotokaga povu humu na elimu yao ya vijiweni kuihusu Kenya, yaani humu JF kila Mtanzania hudai kwamba kafika Kenya na kuiona Kibera. Hii video inaonyesha kwa wastani, kile Watanzania huwa wameaminishwa kuhusu Kenya.
Jamaa wanavyotokaga povu humu na elimu yao ya vijiweni kuihusu Kenya, yaani humu JF kila Mtanzania hudai kwamba kafika Kenya na kuiona Kibera. Hii video inaonyesha kwa wastani, kile Watanzania huwa wameaminishwa kuhusu Kenya.
Imebidi niiangalie hii clip mwanzo mwisho nione hcho kilichofanya ulete huu uzi wala sichakiona, zaidi ni ligi za kawaida za kila siku.Hii video inaonyesha kwa wastani, kile Watanzania huwa wameaminishwa kuhusu Kenya.
Wengi wenu wewe ukiwa hapo ni wa muktadha Huo.Imebidi niiangalie hii clip mwanzo mwisho nione hcho kilichofanya ulete huu uzi wala sichakiona, zaidi ni ligi za kawaida za kila siku.
Au labda hujui maudhui ya vipindi kama hivi, kukusaidia tu ni kuwa hapo fanani anataka kila anayeangalia acheke kwa mtu kushindwa swali la mtego mdogo kama hilo, ndo maana anatafuta watu wa muktadha huo.
Jamaa wanavyotokaga povu humu na elimu yao ya vijiweni kuihusu Kenya, yaani humu JF kila Mtanzania hudai kwamba kafika Kenya na kuiona Kibera. Hii video inaonyesha kwa wastani, kile Watanzania huwa wameaminishwa kuhusu Kenya.
Tanzanians they don't care about kenya# they only care about their country and SADCC countries
Hiyo SADC ndio mpo hoi maana hata lugha ya kuwasiliana nao ni majanga, nafuu Kenya mnaelewana na sisi kwa Kiswahili. Huwa mnazamia South kinyemela na kuhangaika sana huko.
South Africa hatuzamii we have visa freeHiyo SADC ndio mpo hoi maana hata lugha ya kuwasiliana nao ni majanga, nafuu Kenya mnaelewana na sisi kwa Kiswahili. Huwa mnazamia South kinyemela na kuhangaika sana huko.
Maswali kama hayo kama hujaenda shule ni bora usijibu tu hahaHehehe....
Sawa sawa mzee wa "Permanent Head Damage" PhD [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wengi wenu wewe ukiwa hapo ni wa muktadha Huo.