ArushaUnafanyikia wapi huu mkutano?
Samia ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwahiyo hao TAPSEA wana haki ya kumsifia kutokana na mambo mazuri anayoendelea kuifanyia Tanzania na wao TAPSEA wakiwa sehemu ya wanaufaika wa mipango ya serikali, kuisifia serikali yao ni haki yao.Wakuu,
Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa.
Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Samia tu as if ni mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kulikuwa na haja gani ya kumtaja na kumsifia Rais katika mkutano kama huu? Au hawa wote ni makada wa chama cha mapinduzi?
Na kwenye huu mkutano mgeni rasmi ni Makamu wa Rais, kwanini kuna picha kubwa ya Rais huko nyuma?
Tukisema huu ni mkakati wa kisiasa na kampeni za CCM tutakuwa tunakosea?
Nilidhani nimeona pekee yangu!Unafanyikia wapi huu mkutano?
Wanampigia kampeni mwenzao aliyebahatika kuokota apple chini ya mkungu, nao wanaamini hata wao kesho wanaweza kuwa "vigogo".Wakuu,
Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa.
Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Samia tu as if ni mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kulikuwa na haja gani ya kumtaja na kumsifia Rais katika mkutano kama huu? Au hawa wote ni makada wa chama cha mapinduzi?
Na kwenye huu mkutano mgeni rasmi ni Makamu wa Rais, kwanini kuna picha kubwa ya Rais huko nyuma?
Tukisema huu ni mkakati wa kisiasa na kampeni za CCM tutakuwa tunakosea?
Wameweka picha ya mh rais Samia kwa sababu mkutano huu mama Samia ndiye alitarajiwa kuwa mgeni rasmi.Wakuu,
Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa.
Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Samia tu as if ni mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kulikuwa na haja gani ya kumtaja na kumsifia Rais katika mkutano kama huu? Au hawa wote ni makada wa chama cha mapinduzi?
Na kwenye huu mkutano mgeni rasmi ni Makamu wa Rais, kwanini kuna picha kubwa ya Rais huko nyuma?
Tukisema huu ni mkakati wa kisiasa na kampeni za CCM tutakuwa tunakosea?
Nadhani ni shehe wa bakwata wilaya ya arumeru na askofu wa kkkt sasa nadhani viongozi wa dini hawawezi kuwa wapayukaji.Kuna watu wamekaa hapo mbele nimewaona hamtaki kuimba huo wimbo,? Kwa nini hamuimbi?
Asante kwa ufafanuzi.Wako vizuri.Nadhani ni shehe wa bakwata wilaya ya arumeru na askofu wa kkkt sasa nadhani viongozi wa dini hawawezi kuwa wapayukaji.
Usipate vidonda vya tumbo sababu ya Mambo yasiyokuhusuWakuu,
Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa.
Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Samia tu as if ni mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kulikuwa na haja gani ya kumtaja na kumsifia Rais katika mkutano kama huu? Au hawa wote ni makada wa chama cha mapinduzi?
Na kwenye huu mkutano mgeni rasmi ni Makamu wa Rais, kwanini kuna picha kubwa ya Rais huko nyuma?
Tukisema huu ni mkakati wa kisiasa na kampeni za CCM tutakuwa tunakosea?
Vizuri hii video ipewe tuzo ya mpiga video bora ina somo kubwa mnoNadhani ni shehe wa bakwata wilaya ya arumeru na askofu wa kkkt sasa nadhani viongozi wa dini hawawezi kuwa wapayukaji.
Shida iko wapi kumsifia mfadhiri wa mkutano? Hata chadema mkiitisha mkutano mkawapa wajumbe posho mlima watamsifia rais wa 2025 tundu Lissu tuu.Wakuu,
Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa.
Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Samia tu as if ni mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kulikuwa na haja gani ya kumtaja na kumsifia Rais katika mkutano kama huu? Au hawa wote ni makada wa chama cha mapinduzi?
Na kwenye huu mkutano mgeni rasmi ni Makamu wa Rais, kwanini kuna picha kubwa ya Rais huko nyuma?
Tukisema huu ni mkakati wa kisiasa na kampeni za CCM tutakuwa tunakosea?
Shida iko wapi kumsifia mfadhiri wa mkutano? Hata chadema mkiitisha mkutano mkawapa wajumbe posho mlima watamsifia rais wa 2025 tundu Lissu tuu.