PreGE2025 Video: Haya maadhimisho ya TAPSEA ni kikao cha CCM? Kikao kimetawaliwa nyimbo za Samia tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ulitaka wamsifu nani? Samia ndiyo Rais. Nyie mazombie mtawehuka kabla ya uchaguzi
 
Asante kwa ufafanuzi.Wako vizuri.
Nakala ya huu ufafanuzi imfikie Askofu Mpayukaji wa KKKT Askofu Bagonza na Baraza la Maaskofu katolikinTEC,Akina Askofu Mwamakula na Mwanamapinduzi ,Shehe Ponda nk waige hao viongozi wa dini pichani kwenye video

Muwe na kiasi cha kufanya uchawa.

Yaani unamuita mtumishi wa Mungu ni mpayukaji?

Haya bwana!
 
Muwe na kiasi cha kufanya uchawa.

Yaani unamuita mtumishi wa Mungu ni mpayukaji?

Haya bwana!
Kwenye mihemko ya wanasiasa na wafuasi wao kiongozi wa dini anakiwa kuwa cool kama huyo Askofu wa KKKT Arumeru na huyo sheikh

Wapewe tuzo hao .Wanajua wajibu wao kama viongozi wa dini Ndivyo kiongozi wa dini anavyotakuwa ku behave
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…