Video: Haya mambo ya siri kwa wataalam kwanini yanasambazwa kiholela hivi, vya huko huwaga ni siri inayobaki huko huko, si mambo ya kutangaza

Video: Haya mambo ya siri kwa wataalam kwanini yanasambazwa kiholela hivi, vya huko huwaga ni siri inayobaki huko huko, si mambo ya kutangaza

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Nimeona kuna video inarekodi kijana amechanjiwa kinga huku mtaalam akiijaribu, ni aina ya kinga kwa huko Kongo lakini hata Kwa mikoa jirani hasa Kigoma wapo wataalam.

kuna huyu mpuuzi yupo na simu anarekodi sasa video imevuja mitandaoni, alichofanya ni ujinga uliopitiliza, hata wazungu wakiendaga huko wanakaziwa, hizi tiba sio za kutoa ama kuonyesha ovyo ovyo.

Ingekuwa ni ile ya kuweza kutafuna sindano na nyembe bila athari ni sawa tu angerekodiwa na nadhani mshawahi kuwaona waliofanyiwa hizo dawa, ila hii ni ishu nyingine kabisa, hii ni kinga lakini ukigundulika unayo huwa unaweza kuuliwa kirahisi mno huwa kuna mbinu, maisha ya huyu kijana kwa sasa yanaweza kuwa hatarini sana endapo watu wakishawishika kutesti kuitegua.

Pia kinga hizi hutumika zaidi na wezi wa ng'ombe, majambazi, watekaji, n.k. hii inaweza kumpa picha mbaya huyu kijana.

 
Nimeona kuna video inarekodi kijana amechanjiwa kinga huku mtaalam akiijaribu, ni aina ya kinga kwa huko Kongo lakini hata Kwa mikoa jirani hasa Kigoma wapo wataalam...
Kayataka mwenyewe
Mungu aliyemuumba alikuwa anat9sha sana kuliko hizo mazindiko ya kipepo
 
Wewe unatofauti gani na aliyerekodi…???

Kuna wengie hawakuwa wameiona, lakini kufutia wewe kuianzishia uzi unachangia kusambaa zaidi!!!
 
Angemkata na panga shingoni au shoka la kichwani akaondoka kwa mikogo na mimi ningeenda kumchukua kabisa huyo mganga nikawa dalali wake duniani.

Yaani nampeleka kila kona ya Dunia ni mwendo wa kuwajaribu kwa mapanga

Huyo mzee mbona kama anagusa tu
Huyo dogo naona anaerokodi ni mshikaji wake labda
 
Eeh...ndo kusemaaaa! Nikikuvurumishia mastonga mastoni ya kutosha kichwani hayaingii!?...wewee usintaniee!
 
Back
Top Bottom