Uchaguzi 2020 Video: Hii hapa kampeni ya Ester Matiko Kata ya Nyamisangura, Wananchi wamshangilia vibaya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kiukweli kampeni za mwaka huu zaweza kuwa fundisho kubwa sana kwa dunia, kwamba unaweza kudhibiti watu kwa kutumia polisi na wakakuangalia tu kama mabwege hivi lakini kumbe wamekutega mahali fulani ili unase, CCM kwisha habari yake

Your browser is not able to display this video.
 
Kiukweli kampeni za mwaka huu zaweza kuwa fundisho kubwa sana kwa dunia, kwamba unaweza kudhibiti watu kwa kutumia polisi na wakakuangalia tu kama mabwege hivi lakini kumbe wamekutega mahali fulani ili unase, CCM kwisha habari yake.
Hivi wabunge wa ccm hawajaanza kampeni naona kimya. Au wamepita wote bila kuchaguliwa a.k.a bila kupingwa?
 
Rahaaa sana wale wangu wanateseka sana ,sitarajii ile biashara haramu kurejea tena.
 
Huku si ndio bwana yule aliwapiga mkwara? aisee kumbe alikuwa anachochoea kuni moto uwake vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…