Uchaguzi 2020 Video: Hii hapa kampeni ya Ester Matiko Kata ya Nyamisangura, Wananchi wamshangilia vibaya

Hivi wabunge wa ccm hawajaanza kampeni naona kimya. Au wamepita wote bila kuchaguliwa a.k.a bila kupingwa?

sehem iliokua imebaki ya CHADEMA ndo Arusha, na Arusha yenyewe ndo kama hivi watu wanaenda kwenye kampeni za Lema wakiwa wamevaa ccm
 
Uongo wa maccm unajulikana kila mahali. Jana baada ya jpm kuzomewa tutarajie kuandaliwa vikundi kibao vya wahuni kuzomea kwenye mkutano wa chadema.
 
Lema kawashika hadi wanachama wa ccm wanajisahau wanaacha mikutano yao wanakimbilia ya Lema
 
mmeshindwa siasa ama? mara watu hawakujaa, mara amezomewa! mbna mnahangaika ivo, ngome zenu ndo izo kaskazini na kama hali ndo hii arusha sasa sjui inakuaje october
 
Lema kawashika hadi wanachama wa ccm wanajisahau wanaacha mikutano yao wanakimbilia ya Lema

utajua hujui october, jana watu wameingia kwenye kampeni wmevaa ccm, jamaa anawasema wamama wanaouza mboga alafu yeye ndo alikua mbunge miaka 10 😂 😂 😂 😂 😂
 
Gambo hapo hatoboi hata asaidiwe na JWTZ
 
Mungu akulinde mpaka october macho yako yaone arusha tutaamua nn, simpangii Mungu! ila shikilia moyo maaana lolote linaweza kutokea

- arusha nliokua naijua mm na chadema na nkiangalia hii video hmm: kuna presha zitatokea october
 
Back
Top Bottom