Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Ok sawa. Kwanini nyumba ile kwa sasa iko chini ya ulinzi?? Kuna nn hapo?? Nina uhakika humu kuna wana JF wanaotoka mtaa wa Nkuruma watatuwekea ushahidi hapa. Mimi niliongea na mtu jirani na mtaa huo kwa njia ya simu nakunithibitishia hilo. Atakapoweza kupiga picha nitaziweka humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni tukio linalodhaniwa kuwa la kihalifu lazima nyumba iwekwe chini ya ulinzi
 
Nmekuuliza uthibitisho uko wapi?
Au wewe ndio kigogo mwenyewe?

Kwanini mnatumia nguvu sana kuaminisha watu kitu ambacho hakipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
pale mbele ni mnazi mmoja, angalia hiyo Mr discount supermarket ukikata kushoto kwa mbele kuna mtaa kama huo ndipo lilipotokea tukio nikipata muda nitaenda kupiga picha kwa kukuhakikishia kuwa ni kweli tukio limetokea ila kwa vile tuna hili janga mtu hata akifa na malaria walimwengu watasema corona
 
Attachments

  • IMG_20200414_142834.jpg
    IMG_20200414_142834.jpg
    192.4 KB · Views: 1

Kabla ya hili janga umewahi kuona watu wanakufa hovyo njiani? Tena bora hapa kwetu. Kwa wenzetu mmoja kabla ya lockdown mtu kutembea nakukutana na watu wanne wanakufa njiani ilikuwa kawaida. Au umeona ile video ya Equador watu wanafia vituo vya mabasi? Huu ugonjwa hiyo ndiyo staili yake ya kuua. Unalegeza mwili ndani ya dakika chache virus wakishakolea unaipata habari yake!
 
Kwa hiyo wapuuzi wanaobisha kwa kusema hapo sio bongo walitaka iwe wapi?
 
Kabla ya hili janga umewahi kuona watu wanakufa hovyo njiani? Tena bora hapa kwetu. Kwa wenzetu mmoja kabla ya lockdown mtu kutembea nakukutana na watu wanne wanakufa njiani ilikuwa kawaida. Au umeona ile video ya Equador watu wanafia vituo vya mabasi? Huu ugonjwa hiyo ndiyo staili yake ya kuua. Unalegeza mwili ndani ya dakika chache virus wakishakolea unaipata habari yake!
Ukifikia ile hatua ya kukosa hewa, kama hukuwekewa ventilator machine, huna dakika zaidi ya 20 za kuishi.
 
Fuatilia mstari wa Tax inakunja kona,na kswahili flani hivi,utasikia mtu akise"we braza"
Unafikiri nilivyoandika "inadaiwa" nilikuwa mjinga?

Unaelewa maana ya kutumia hilo neno?

Soma katikati ya mistari acha kukurupuka!

We mwenyewe hapo uhakika huna, sasa sijui ulitaka mimi niandikaje?!

Namba za magari zingewaza kusaidia kujua kama ni Tanzania au laaa ila nashindwa kuzisoma.
 
Mkuu ungemuelekeza tu kwenye vdo hapo sio dar wala sio tz! Ni nchi nyingine tu, kongo au kwengineko hata hayo magari yenye namba za ktz yalikuepo huko kama msaada wa kuwasaidia kupambana na covid!.
Kwa akili yako hapo kuna ushahidi wowote kwamba ni dar? Na sio Congo au kwingineko?

Je na hao watu walialikwa kuja kushuhudia mtu aliekufa kwa corona?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtu tangu asubuhi naingia job alishakata pumzi, police waliitwa wakagoma kumchukua marehemu wakasema mpaka waje wataalamu wa Afya.

Jamaa alitoka alikotoka akafika hapo akaomba apumzike anywe na kahawa mara ghafra akaanguka na hapo ukawa mwisho wa Maisha yake watu wakakimbia.

Tukio ni Nkurumah mbele kule ni stand ya mabasi ya Gongo la mboto Mnazi mmoja
Mimi nashangaa kwanini huu ugonjwa wengine unawachukulia ghafla?,
Hata kule China ilifikia unaona mtu anatembea,minding his/her own business,ghafla huyo kadondoka na haipiti dakika kafa
 
Kwani hii video ni ya wapi?
Nini kinakupa ujasiri wa kutuambukiza dhana ya u fake?!

Wasiwasi ndio akili (kapita mwajuma ndala ndefu kajifunga kanga imeandikwa hivyo)
Usinilete maneno ya kidada kwenye mabano apa mwehu wewe

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Paskali bwa
Paskali bwana, kila kitu anajua?!! Wakati mwingine wàachie na wenzako, pengine waweza jifunza kitu!
Elimu yangu ni ya daasa la saba tuu, ila kufanya kazi miaka 30 kwenye media, kumeni expose karibu na all aspects za maisha ya kila siku. Tuko kwenye janga la Corona, hivyo kifo chochote kinachotokea nyumbani, hata kama ni old age mtu yuko 101 years, wafanyakazi wa afya lazima wachukue tahadhari zote zote na hiyo ndio standard procedure.
P
 
Walikuwa wanaingia kubeba nyama ya ng'ombe.

N.B.
Kama mwenye akili aangalie hayo mavazi.
Wadau, kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi (protective gear).

Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?

Wahusika tunaomba ufafanuzi.

Serikali iweke wazi ili jambo tutaisha
 
Back
Top Bottom