Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Kama ni tukio linalodhaniwa kuwa la kihalifu lazima nyumba iwekwe chini ya ulinziOk sawa. Kwanini nyumba ile kwa sasa iko chini ya ulinzi?? Kuna nn hapo?? Nina uhakika humu kuna wana JF wanaotoka mtaa wa Nkuruma watatuwekea ushahidi hapa. Mimi niliongea na mtu jirani na mtaa huo kwa njia ya simu nakunithibitishia hilo. Atakapoweza kupiga picha nitaziweka humu.
Sent using Jamii Forums mobile app