Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Kama ni tukio linalodhaniwa kuwa la kihalifu lazima nyumba iwekwe chini ya ulinziOk sawa. Kwanini nyumba ile kwa sasa iko chini ya ulinzi?? Kuna nn hapo?? Nina uhakika humu kuna wana JF wanaotoka mtaa wa Nkuruma watatuwekea ushahidi hapa. Mimi niliongea na mtu jirani na mtaa huo kwa njia ya simu nakunithibitishia hilo. Atakapoweza kupiga picha nitaziweka humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
pale mbele ni mnazi mmoja, angalia hiyo Mr discount supermarket ukikata kushoto kwa mbele kuna mtaa kama huo ndipo lilipotokea tukio nikipata muda nitaenda kupiga picha kwa kukuhakikishia kuwa ni kweli tukio limetokea ila kwa vile tuna hili janga mtu hata akifa na malaria walimwengu watasema coronaNmekuuliza uthibitisho uko wapi?
Au wewe ndio kigogo mwenyewe?
Kwanini mnatumia nguvu sana kuaminisha watu kitu ambacho hakipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Paskali bwana, kila kitu anajua?!! Wakati mwingine wàachie na wenzako, pengine waweza jifunza kitu!Ni kawaida kunapotokea epidemics or pandemic, any demise by any causes inakuwa handed with maximum medical precautions.
P
Kabla ya hili janga umewahi kuona watu wanakufa hovyo njiani? Tena bora hapa kwetu. Kwa wenzetu mmoja kabla ya lockdown mtu kutembea nakukutana na watu wanne wanakufa njiani ilikuwa kawaida. Au umeona ile video ya Equador watu wanafia vituo vya mabasi? Huu ugonjwa hiyo ndiyo staili yake ya kuua. Unalegeza mwili ndani ya dakika chache virus wakishakolea unaipata habari yake!pale mbele ni mnazi mmoja, angalia hiyo Mr discount supermarket ukikata kushoto kwa mbele kuna mtaa kama huo ndipo lilipotokea tukio nikipata muda nitaenda kupiga picha kwa kukuhakikishia kuwa ni kweli tukio limetokea ila kwa vile tuna hili janga mtu hata akifa na malaria walimwengu watasema corona
Kila mtu Kawa mtaalamPaskali bwa
Paskali bwana, kila kitu anajua?!! Wakati mwingine wàachie na wenzako, pengine waweza jifunza kitu!
Naunga mkono hoja.......ituondolee anaetulimisha kwa meno!
Acha kuogopesha watu wewe, Serikali yako hii haina huo uwezo abadani. Kwa teknolojia ipi walionayo? Jinga kabisa.Unadhani serikali haitujui kisa fake id?
Ukifikia ile hatua ya kukosa hewa, kama hukuwekewa ventilator machine, huna dakika zaidi ya 20 za kuishi.Kabla ya hili janga umewahi kuona watu wanakufa hovyo njiani? Tena bora hapa kwetu. Kwa wenzetu mmoja kabla ya lockdown mtu kutembea nakukutana na watu wanne wanakufa njiani ilikuwa kawaida. Au umeona ile video ya Equador watu wanafia vituo vya mabasi? Huu ugonjwa hiyo ndiyo staili yake ya kuua. Unalegeza mwili ndani ya dakika chache virus wakishakolea unaipata habari yake!
Kwa akili yako hapo kuna ushahidi wowote kwamba ni dar? Na sio Congo au kwingineko?
Je na hao watu walialikwa kuja kushuhudia mtu aliekufa kwa corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri nilivyoandika "inadaiwa" nilikuwa mjinga?
Unaelewa maana ya kutumia hilo neno?
Soma katikati ya mistari acha kukurupuka!
We mwenyewe hapo uhakika huna, sasa sijui ulitaka mimi niandikaje?!
Namba za magari zingewaza kusaidia kujua kama ni Tanzania au laaa ila nashindwa kuzisoma.
Kwa akili yako hapo kuna ushahidi wowote kwamba ni dar? Na sio Congo au kwingineko?
Je na hao watu walialikwa kuja kushuhudia mtu aliekufa kwa corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nashangaa kwanini huu ugonjwa wengine unawachukulia ghafla?,Huyo mtu tangu asubuhi naingia job alishakata pumzi, police waliitwa wakagoma kumchukua marehemu wakasema mpaka waje wataalamu wa Afya.
Jamaa alitoka alikotoka akafika hapo akaomba apumzike anywe na kahawa mara ghafra akaanguka na hapo ukawa mwisho wa Maisha yake watu wakakimbia.
Tukio ni Nkurumah mbele kule ni stand ya mabasi ya Gongo la mboto Mnazi mmoja
Ukifikia ile hatua ya kukosa hewa, kama hukuwekewa ventilator machine, huna dakika zaidi ya 20 za kuishi.
Sasa wewe unataka kusambaza koronaSijui nirudi kijijini?
Usinilete maneno ya kidada kwenye mabano apa mwehu weweKwani hii video ni ya wapi?
Nini kinakupa ujasiri wa kutuambukiza dhana ya u fake?!
Wasiwasi ndio akili (kapita mwajuma ndala ndefu kajifunga kanga imeandikwa hivyo)
Elimu yangu ni ya daasa la saba tuu, ila kufanya kazi miaka 30 kwenye media, kumeni expose karibu na all aspects za maisha ya kila siku. Tuko kwenye janga la Corona, hivyo kifo chochote kinachotokea nyumbani, hata kama ni old age mtu yuko 101 years, wafanyakazi wa afya lazima wachukue tahadhari zote zote na hiyo ndio standard procedure.Paskali bwa
Paskali bwana, kila kitu anajua?!! Wakati mwingine wàachie na wenzako, pengine waweza jifunza kitu!
Wadau, kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi (protective gear).
Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?
Wahusika tunaomba ufafanuzi.
Serikali iweke wazi ili jambo tutaisha