Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Uungwana ni wale ambao wameamua kuendelea na shughuli zao kama kawa (ni haki yao) ila watakapopata maambukizi kipindi ambacho hospitali zimezidiwa na wagonjwa wa Corona wawe na ubinadamu wakusema wao walijitakia na walikuwa tayari kwa lolote ivyo vitanda wapewe raia waliojaribu kuchukua hatua kwa bahati mbaya wamepata maambukizi.
 
binafsi nimechukizwa kwa namna wanasiasa walivyo ingilia mchakato wa kuzuia COVID19, 'ohoo ukiweka karantini uchumi wetu utaanguka??….'''''
 
binafsi nimechukizwa kwa namna wanasiasa walivyo ingilia mchakato wa kuzuia COVID19, 'ohoo ukiweka karantini uchumi wetu utaanguka??….'''''
Tutakuwa case study ya dunia miaka ya baadae on what not do when it comes to dealing with pandemic.
 
Yaani mtu una umwa mpaka unafia ndani ni kwamba hauna ndugu wa kukupeleka hospital au?
Imetokea Kariakoo ndiyo. Watu wanaumwa hadi wanafia ndani bwana. Hili ndiyo litakalotumaliza Watanzania

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Leo Kuna picha na video zikiwa zimetrend huko WhatsApp na Twitter kuhusiana na maiti iliyochukuliwa Leo na ambulance katika mtaa WA Sophia kawawa katikati mwa jiji la Dar
Tukumbushane na tuelimishane kwa njia ya picha kuhusu janga hili la CORONA COVID19 liloikumba dunia

Mpka sasa hakuna kinga zaidi ya kunawa kwa sabuni,kutumia sanitizer,kuepuka mikusanyiko na kusikiliza maelekezo kutoka kwa wataalam wa afya

Tuwe makini
kufuata maelekezo ya wataalam wa afya na si wanasiasa

Narudia tena
Tuwe makini
kufuata maelekezo ya wataalam wa afya na si wanasiasa

kufuata maelekezo ya wataalam wa afya na si wanasiasa

kufuata maelekezo ya wataalam wa afya na si wanasiasa

Asanteni Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G sam unatuonaje yani hadi unatuongopea kiwango hiki?
Video ya equador watu walikuwa wanafia makwao na wanaletwa na kuweka bara barani kwa sababu hospitali au wahusika walikuwa hawaji kubeba hizo maiti.
Ila sio kwamba walikuwa wanakufa wakiwa wanatembea.
Ach kutia watu hofu.
 
Na kule Italy hukuona watu wakianguka mabarabarani? Tatizo hamfuatilii.
 
Ni mgonjwa wa kifaduro nchini Burkina Faso, mji wa Ouagadougou ilitokea mwaka 2017, endeleeni kuchapa kazi, na mfuate ushauri wa wataalamu....za kuambiwa changanya na za kwako 😀
Hilo la kuchapa kazi ndo wengi wanataman kulisikia,, sku wakianza kukohoa ndo watajua pamekucha tiyari!!, covid- 19 si ya kucheza nayo wazee, tuwe makini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya Ecuador yanatisha mkuu, tuombe tu Mungu apitishe mbali.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndiyo huwa tunakosea na kuja kupukutika kama nzige waliopigwa sumu, yaani badala ya kuchukua hatua stahiki tunasema tumuombe Mungu yule wa Italy, Spain, China na USA atuepushie mbali! Hapa ndiyo mtu mweusi huwa anaonekana fala na kubaguliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…