Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Uungwana ni wale ambao wameamua kuendelea na shughuli zao kama kawa (ni haki yao) ila watakapopata maambukizi kipindi ambacho hospitali zimezidiwa na wagonjwa wa Corona wawe na ubinadamu wakusema wao walijitakia na walikuwa tayari kwa lolote ivyo vitanda wapewe raia waliojaribu kuchukua hatua kwa bahati mbaya wamepata maambukizi.