Kuna mwingine amekufa huko Korogwe, umemskia? Nilisoma kwa kigogo na kweli kazikwa na serikali
Hahahahahahah mnajuanaUlitaka niseme nini cha zaidi?
We mwenyewe hapo tukuulize kwanini unatumia fake ID?
Acha kuniiga wewe dadaSio "Taharifa" ni "Taarifa" nzi wa kijani wewe
Wajinga hawawezi kukuelewaElimu yangu ni ya daasa la saba tuu, ila kufanya kazi miaka 30 kwenye media, kumeni expose karibu na all aspects za maisha ya kila siku. Tuko kwenye janga la Corona, hivyo kifo chochote kinachotokea nyumbani, hata kama ni old age mtu yuko 101 years, wafanyakazi wa afya lazima wachukue tahadhari zote zote na hiyo ndio standard procedure.
P
Jamani tuwe makini kila mtu kwa namna anavyoweza..maana ukweli wanaujua wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee siku hizi umekuwa muoga sana kutoa taarifa kamili!
Sasa Kama sio lugha yake kipi kimemfanya aikimbilie? Mnalea ujinga halafu unamkingia kifua.ameeleweka, hii si lugha yake, inatosha
Ukifikia ile hatua ya kukosa hewa, kama hukuwekewa ventilator machine, huna dakika zaidi ya 20 za kuishi.
Mkuu umenishusha presha/kimuhemuhe cha hatari nilichokuwa nachoHuyo mtu tangu asubuhi naingia job alishakata pumzi, police waliitwa wakagoma kumchukua marehemu wakasema mpaka waje wataalamu wa Afya.
Jamaa alitoka alikotoka akafika hapo akaomba apumzike anywe na kahawa mara ghafra akaanguka na hapo ukawa mwisho wa Maisha yake watu wakakimbia.
Tukio ni Nkurumah mbele kule ni stand ya mabasi ya Gongo la mboto Mnazi mmoja
Ni kawaida kunapotokea epidemics or pandemic, any demise by any causes inakuwa handed with maximum medical precautions.
P
Kujiweka lockdown ni sawa. Ila Magufuli anakusanya kodi yetu, ana wajibu wa kufanya ile kazi aliyoiomba miaka 5 iliyopita, na anakusudia kuiomba tena mwaka huu. Anawajibika kwa taifa
Unatuchanganya mkuu,ni bora ungekaa kimya kwa kuwa taaluma ya fani yako hairuhusu kuwasilisha kitu kisichokuwa na uthibitisho kwa hadhira. Acha sisi tuendelee na speculations zetu,ila kuna kitu nyuma ya pazia ambacho tunafichwa. Taarifa sahihi ni mojawapo ya njia za kupigana na hili jangaElimu yangu ni ya daasa la saba tuu, ila kufanya kazi miaka 30 kwenye media, kumeni expose karibu na all aspects za maisha ya kila siku. Tuko kwenye janga la Corona, hivyo kifo chochote kinachotokea nyumbani, hata kama ni old age mtu yuko 101 years, wafanyakazi wa afya lazima wachukue tahadhari zote zote na hiyo ndio standard procedure.
P
Hata sijui! Mimi nilikuwa kazini mitaa hiyo hiyo sikuona hiyo. Hao walikuwa wa natazama ni wazururaji ambao Makonda alipaswa kuwakamataWadau, kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi (protective gear).
Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?
Wahusika tunaomba ufafanuzi.
Serikali iweke wazi ili jambo tutaisha