Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Je ni kweli Aga Khan pia inalaza wagonjwa wa corona baada ya mloganzira kujaa?
Mlonganzila haiwezi kujaa!.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya serikali, hospitali rasmi ya Corona ni Mlonganzila, ila kwavile hospital nyingine zote kubwa kubwa ikiwemo Agha Khan, Hindu Mandal, Oyesrbay Hospital, Regency, Kairuki, etc zote zina vifaa na zina uwezo kwa wenye nazo, wagonjwa wao wa Corona hawaingizwi kwenye hesabu ya taifa.

P
 
Ooh Asante mkuu,kumbe wale 53 ni wanyonge tu? Good to hear
 
Kunapotokea majanga ya kitaifa, media inafanya kazi ya resctive media reporting kwa kuripoti kile tuu kitakacho tangazwa rasmi na Serikali, hata ikitokea kuwa ni kweli kuna watu mahospitalini na majumbani wanakufa kwa Corona, hairuhusiwi kutangaza, sio kwa lengo la kuficha bali ni control measures kuzuia panic, na miss information.
P
Kwahio serikali ya Marekani au Italy inavyotangaza data sahihi inawaogopesha watu?
Kuna tofauti ya watu wa Marekani na Tz kweli! Wote tunahitaji data sahihi ili tujue tunaelekea wapi...
Kwa maelezo yako hayo mafupi umekubali wazi serikali inaficha data.
 
No serikali haifichi data bali uwezo wetu wa acurate data collection ni mdogo kulinganisha na Wenzetu nchi zilizoendelea.

Kwa Tanzania taarifa za Corona ni centralized kwa taarifa za serikali tuu ndizo zinazotolewa. Ile hospital ya Wazungu iliyopo Masaki imekuwa ikipima na ku treated wagonjwa wa Corona toka February na kule Wazungu wamefurika. Hospital za Agha Khan, Regency, Hindu Mandal, zina pima na ku treated Corona, lakini taarifa za serikali ni zile za maabara za serikali tuu. Kuna wagonjwa wa Corona wanafia huko na Majumbani lakini bila kupimwa na serikali na kuthibitishwa, hawatangazwi, kutotangazwa huku sio kuficha bali huwezi kutangaza kitu ambacho hujakithibitisha hata kama dalili zote zimeonekana!.
Restricting information sio kuficha ni kuratibu kuzuia holela.

Kitu ambacho kingefanyika na kinapaswa kufanyika sasa ni linking maabara zote binafsi zinazopima Corona ku share info na serikali kuziingiza hizo data kwenye national data nazo zijumuishwe kwenye taarifa ya update ya Waziri wa Afya
P
 
Ooh Asante mkuu,kumbe wale 53 ni wanyonge tu? Good to hear
Yes wagonjwa karibu wote wanaotangazwa na serikali ni wanyonge. Umawahi kusikia kuna mzungu yoyote, muhindi yoyote au wana balozi wowote wametajwa?. Watu wana ma bima ya maana, ukifika pale Masaki hospital ya mabalozi ni kama uko ulaya, au nenda Agha Khan ukashuhudie huduma za pale, ni 1st Class.
P
 
Wadau, kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi (protective gear).

Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?

Wahusika tunaomba ufafanuzi.

Serikali iweke wazi ili jambo tutaisha

Salary Slip, kweli tutaisha lakini kwa mapuuza yetu- sasa hao watu waliorundikana hapo wanafanya nini kwa mfano?
 
No serikali haifichi data bali uwezo wetu wa acurate data collection ni mdogo kulinganisha na Wenzetu nchi zilizoendelea.

Kwa Tanzania taarifa za Corona ni centralized kwa taarifa za serikali tuu ndizo zinazotolewa. Ile hospital ya Wazungu iliyopo Masaki imekuwa ikipima na ku treated wagonjwa wa Corona toka February na kule Wazungu wamefurika. Hospital za Agha Khan, Regency, Hindu Mandal, zina pima na ku treated Corona, lakini taarifa za serikali ni zile za maabara za serikali tuu. Kuna wagonjwa wa Corona wanafia huko na Majumbani lakini bila kupimwa na serikali na kuthibitishwa, hawatangazwi, kutotangazwa huku sio kuficha bali huwezi kutangaza kitu ambacho hujakithibitisha hata kama dalili zote zimeonekana!.
Restricting information sio kuficha ni kuratibu kuzuia holela.

Kitu ambacho kingefanyika na kinapaswa kufanyika sasa ni linking maabara zote binafsi zinazopima Corona ku share info na serikali kuziingiza hizo data kwenye national data nazo zijumuishwe kwenye taarifa ya update ya Waziri wa Afya
P
Kwa maelezo yako haya P. Bado ninaamini tatizo la kwetu ni kujaribu kuiga u communist . Angalia mataifa yote ya ki soshalist na u communist yana matatizo ya kuwaficha raia wake ukweli wa mambo. Kuanzia kwetu hapa uhuru wa habari hamna.

Odhis *
 
Odhiambo cairo, nimegundua hakuna taifa linaaminika kuwa linachosema ni kweli
 
Kwa maelezo yako haya P. Bado ninaamini tatizo la kwetu ni kujaribu kuiga u communist . Angalia mataifa yote ya ki soshalist na u communist yana matatizo ya kuwaficha raia wake ukweli wa mambo. Kuanzia kwetu hapa uhuru wa habari hamna.

Odhis *
Mkuu Odhiambo Cairo, tukiisha kubali kufanya restrictions kwenye giving out info, then huwezi tena kuzungumzia freedom, lakini sisi Tanzania tuna uhuru mkubwa sana wa habari.

Tanzania tuna uhuru mkubwa wa habari na uhuru wa kujieleza, Serikali ina nia njema kusajili na Kudhibiti-Dr. Hassan Abbas afafanua live on Chan.10 - JamiiForums
P
 
Mlonganzila haiwezi kujaa!.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya serikali, hospitali rasmi ya Corona ni Mlonganzila, ila kwavile hospital nyingine zote kubwa kubwa ikiwemo Agha Khan, Hindu Mandal, Oyesrbay Hospital, Regency, Kairuki, etc zote zina vifaa na zina uwezo kwa wenye nazo, wagonjwa wao wa Corona hawaingizwi kwenye hesabu ya taifa.

P
Kama ndivyo, tatizo ni zaidi tulisikiavyo toka kwa viongozi wetu. Inamaana mafumbo yanaendelea kwenye hotuba zao.

Tutasikia mengi
 
Wale member umewaona tena huku? Baada ya pale wametumia njia mbadala kuwapata

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata hivyo huwa hawachangii regularly. Hivyo huwezi kusema wamepatikana kwa njia tofauti. Maana pia kuna watu wengi ni members humu lakini huwa hawachangii kabisa, nao tuseme wamekamatwa?
 
Yule jamaa wa twita mwenye picha ya Jay - Z huenda akawa anajua nini kimetokea hapo..
 
No serikali haifichi data bali uwezo wetu wa acurate data collection ni mdogo kulinganisha na Wenzetu nchi zilizoendelea.

Kwa Tanzania taarifa za Corona ni centralized kwa taarifa za serikali tuu ndizo zinazotolewa. Ile hospital ya Wazungu iliyopo Masaki imekuwa ikipima na ku treated wagonjwa wa Corona toka February na kule Wazungu wamefurika. Hospital za Agha Khan, Regency, Hindu Mandal, zina pima na ku treated Corona, lakini taarifa za serikali ni zile za maabara za serikali tuu. Kuna wagonjwa wa Corona wanafia huko na Majumbani lakini bila kupimwa na serikali na kuthibitishwa, hawatangazwi, kutotangazwa huku sio kuficha bali huwezi kutangaza kitu ambacho hujakithibitisha hata kama dalili zote zimeonekana!.
Restricting information sio kuficha ni kuratibu kuzuia holela.

Kitu ambacho kingefanyika na kinapaswa kufanyika sasa ni linking maabara zote binafsi zinazopima Corona ku share info na serikali kuziingiza hizo data kwenye national data nazo zijumuishwe kwenye taarifa ya update ya Waziri wa Afya
P
Kama ndivyo, hao wamarekani WA mwanzo na sasa wapo kwenye orodha?
 
Back
Top Bottom