Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mlonganzila haiwezi kujaa!.Je ni kweli Aga Khan pia inalaza wagonjwa wa corona baada ya mloganzira kujaa?
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya serikali, hospitali rasmi ya Corona ni Mlonganzila, ila kwavile hospital nyingine zote kubwa kubwa ikiwemo Agha Khan, Hindu Mandal, Oyesrbay Hospital, Regency, Kairuki, etc zote zina vifaa na zina uwezo kwa wenye nazo, wagonjwa wao wa Corona hawaingizwi kwenye hesabu ya taifa.
P