Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Elimu yangu ni ya daasa la saba tuu, ila kufanya kazi miaka 30 kwenye media, kumeni expose karibu na all aspects za maisha ya kila siku. Tuko kwenye janga la Corona, hivyo kifo chochote kinachotokea nyumbani, hata kama ni old age mtu yuko 101 years, wafanyakazi wa afya lazima wachukue tahadhari zote zote na hiyo ndio standard procedure.
P
Wajinga hawawezi kukuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani tuwe makini kila mtu kwa namna anavyoweza..maana ukweli wanaujua wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu changamoto iko kwenye hiyo namna ya kujikinga binafsi. Mfalme Mswati ndiyo huyo hapo, alishindwa kujikinga kuliko tunavyoweza sisi?

Eswatini King Mswati III hospitalised with COVID-19: reports

Ka picha haka nako hakapo mbali sana na hali ya mambo kunako fuka moshi
2367592_IMG_20200413_163522.jpg
:
 
Ukifikia ile hatua ya kukosa hewa, kama hukuwekewa ventilator machine, huna dakika zaidi ya 20 za kuishi.

Dakika 20 Mbona nyingi sana Mkuu
Hebu bana pumzi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huyo mtu tangu asubuhi naingia job alishakata pumzi, police waliitwa wakagoma kumchukua marehemu wakasema mpaka waje wataalamu wa Afya.

Jamaa alitoka alikotoka akafika hapo akaomba apumzike anywe na kahawa mara ghafra akaanguka na hapo ukawa mwisho wa Maisha yake watu wakakimbia.

Tukio ni Nkurumah mbele kule ni stand ya mabasi ya Gongo la mboto Mnazi mmoja
Mkuu umenishusha presha/kimuhemuhe cha hatari nilichokuwa nacho
 
Ni kawaida kunapotokea epidemics or pandemic, any demise by any causes inakuwa handed with maximum medical precautions.
P

Mkuu Ummy alishatuandaa kisaikolojia... Alifanya hivyo just last week alipokuwa akiongea na viongozi wa dini...
Na nahisi projections za WHO japo hatuzipendi lakini model yao ni kama haikukosea sana...
 
Elimu yangu ni ya daasa la saba tuu, ila kufanya kazi miaka 30 kwenye media, kumeni expose karibu na all aspects za maisha ya kila siku. Tuko kwenye janga la Corona, hivyo kifo chochote kinachotokea nyumbani, hata kama ni old age mtu yuko 101 years, wafanyakazi wa afya lazima wachukue tahadhari zote zote na hiyo ndio standard procedure.
P
Unatuchanganya mkuu,ni bora ungekaa kimya kwa kuwa taaluma ya fani yako hairuhusu kuwasilisha kitu kisichokuwa na uthibitisho kwa hadhira. Acha sisi tuendelee na speculations zetu,ila kuna kitu nyuma ya pazia ambacho tunafichwa. Taarifa sahihi ni mojawapo ya njia za kupigana na hili janga
 
Ukitaka ujue wabongo hawana shughuli za muhimu, vaa headphone yako, tembea mpaka riverside au sehemu yenye watu ambao wanaonekana wapo busy sana, washa sebene anza kuyarudi. Utashanga umezungukwa fasta watu wanakutazama.
 
Wadau, kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi (protective gear).

Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?

Wahusika tunaomba ufafanuzi.

Serikali iweke wazi ili jambo tutaisha
Hata sijui! Mimi nilikuwa kazini mitaa hiyo hiyo sikuona hiyo. Hao walikuwa wa natazama ni wazururaji ambao Makonda alipaswa kuwakamata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinga ni Bora kuliko tiba-ndio maana l
Kwa sasa kila kona ktk Jiji la Dar kuna ndoo ZA maji ya kunawa ktk kipindi hiki cha corona sio jambo la kushangaza!
 
Back
Top Bottom