Kabishiiii...Wewe huoni kuna daladala za bongo hapo? Umejikalia tu kama zoba!Kwa akili yako hapo kuna ushahidi wowote kwamba ni dar? Na sio Congo au kwingineko?
Je na hao watu walialikwa kuja kushuhudia mtu aliekufa kwa corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka aitwe DDM? usihatarishe kula ya watoto wake Pascal MayallaAcha uoga pascal tema nyongo.
Plate ya namba ya hiyo landcruiserWapi proof kwamba hapo ni Bongo?
Acha uoga pascal tema nyongo.
Dah..usituletee virusi..kuna wazee huku.. baki huko huko...Sijui nirudi kijijini?
Kigogo siyo wa kumwamini bwashee.Kuna mwingine amekufa huko Korogwe, umemskia? Nilisoma kwa kigogo na kweli kazikwa na serikali
Sasa maiti zitaokotwa mitaani na majumbani.Imetokea Kariakoo ndiyo. Watu wanaumwa hadi wanafia ndani bwana. Hili ndiyo litakalotumaliza watanzania
Habari zingine zatisha bwa sheh
Dah...siyo kila kitu hadi uambiwe....jiongeze...[emoji2960]Serikali iweke wazi ili jambo tutaisha
Kwenye kipindi kama hichi taadhari lazima ifanyike iwe ni corona au sio corona.Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi.
Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?
Wahusika tunaomba ufafanuzi.
Video hii hapa:
Unadhani serikali haitujui kisa fake id?
Huku kwetu leo familia nzima imezolewa jana asubuhi kumbe mzee mwenye nyumba ambaye ni daktari wa muhimbili watu wanajua yupo kazini kumbe yupo Mloganzila tayari.Sasa maiti zitaokotwa mitaani na majumbani.
unamuuliza nani ?Sijui nirudi kijijini?
Ashakum! Umeshikilia mkia wa mbwa wauliza ulipo mkunduwe?
Sio Tanzania hapoSerikali iweke wazi ili jambo tutaisha
Ninawaza moyoni mwanangu.unamuuliza nani ?
Umekunywa maji yabendera yachama amaWapi proof kwamba hapo ni Bongo?
Wewe umekatazwa kujilockdown?Yeye yuko zake lockdown huko chato wengine pigeni kazi![emoji2211][emoji2211][emoji2211]