Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi.

Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?

Wahusika tunaomba ufafanuzi.

Video hii hapa:

Kwenye kipindi kama hichi taadhari lazima ifanyike iwe ni corona au sio corona.
No sawa sawa na herpetitis B , hiv n.k
 
Back
Top Bottom