Mliotoka kijijini na kufikia Sinza au Kimara ni ngumu sana kwenu kuitambua mitaa ya katikati ya JijiMmmh hapo bongo kwel?
Wewe ndio zoba! Dala dala ziko wapi hapo?Kabishiiii...Wewe huoni kuna daladala za bongo hapo? Umejikalia tu kama zoba!
Huo ndio uthibitisho?Ashakum! Umeshikilia mkia wa mbwa wauliza ulipo mkunduwe?
Sikulaumu. Simu unayotumia inakuweka gizani!Wewe ndio zoba! Dala dala ziko wapi hapo?
Mnachokiombea hakitokei basi mnapata hasira kweli kweli, na bado mtavimba sana.
Badala ya mkazane kudai katiba mpya inayowaletea tume huru nyie mmekazana kueneza uzushi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee siku hizi umekuwa muoga sana kutoa taarifa kamili!
Kashaiweka kitambokutulia kwa vipi? sijaona twita sasa nisemeje
Nmekuuliza kuna daladala hapo? Na zinaonesha ni za TZ?Sikulaumu. Simu unayotumia inakuweka gizani!
Iandike upya sentesi yako ukianza na neno la mwisho umalizie na la kwanza kisha soma kwa sauti
Sina shida na habari, bali natamani kujiridhisha.
Unadhani serikali haitujui kisa fake id?
Hausikiii sauti kwenye background?
Punguani!Iandike upya sentesi yako ukianza na neno la mwisho umalizie na la kwanza kisha soma kwa sauti
Mtu aliyetokea Geita huko au Simiyu city center anaijulia wapiMliotoka kijijini na kufikia Sinza au Kimara ni ngumu sana kwenu kuitambua mitaa ya katikati ya Jiji
Ulivyoandika hapo mwanzo nikajua utaleta uthibitisho wa huo ukali wako kumbe umeandika tu utopolo.Hii video SI YA KWELI,naomba niwe mkali kidogo NI KOSA KISHERIA KUZUSHA TARIFA ZISIZO ZA KWELI NA KULETA TAHARUKI KWA WANANCHI WENGI WATAPATA TABU KWA HII TABIA OMBI LANGU MITANDAO YA KIJAMII IZUWIE TAHARIFA KAMA HIZI KWANI ZINALETA HOFU KWA RAIA
"TUNAWE MIKONO KWA SABUNI NA MAJI TIRIRIKA, TUEPUKE MISONGAMANO NA TUSIKILIZE TARIFA NA MIONGOZO INAYOTOLEWA NA WIZARA YA AFYA TUWACHE KUSIKILIZA WAZUSHI"
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Itakujuaje? Kwamba wanaoteshwa?Unadhani serikali haitujui kisa fake id?
Corona ni jangwa la kimataifa. Hao wahudumu wanajitahidi kujikinga maana hawana uhakika wa sababu ya hicho kifo.Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi(protective gear).
Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?
Wahusika tunaomba ufafanuzi.
Video hii hapa:
Sioni ukijitofautisha na punguani!Punguani!
Leteni mambo ya maana ya kuwasaidia kuitoa ccm madarakani siyo hizi porojo zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
wanazingua sanaaaMtu aliyetokea Geita huko au Simiyu city center anaijulia wapi