Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Kabishiiii...Wewe huoni kuna daladala za bongo hapo? Umejikalia tu kama zoba!
Wewe ndio zoba! Dala dala ziko wapi hapo?

Mnachokiombea hakitokei basi mnapata hasira kweli kweli, na bado mtavimba sana.

Badala ya mkazane kudai katiba mpya inayowaletea tume huru nyie mmekazana kueneza uzushi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii video SI YA KWELI,naomba niwe mkali kidogo NI KOSA KISHERIA KUZUSHA TARIFA ZISIZO ZA KWELI NA KULETA TAHARUKI KWA WANANCHI WENGI WATAPATA TABU KWA HII TABIA OMBI LANGU MITANDAO YA KIJAMII IZUWIE TAHARIFA KAMA HIZI KWANI ZINALETA HOFU KWA RAIA
"TUNAWE MIKONO KWA SABUNI NA MAJI TIRIRIKA, TUEPUKE MISONGAMANO NA TUSIKILIZE TARIFA NA MIONGOZO INAYOTOLEWA NA WIZARA YA AFYA TUWACHE KUSIKILIZA WAZUSHI"

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Watu bwana kwa kujifanya wajuaji.
Hapo ni dar town karibia na mnazi mmoja opposite na hapo kuna hotel inaitwa Tamarine ya wasomali
 
Hii video SI YA KWELI,naomba niwe mkali kidogo NI KOSA KISHERIA KUZUSHA TARIFA ZISIZO ZA KWELI NA KULETA TAHARUKI KWA WANANCHI WENGI WATAPATA TABU KWA HII TABIA OMBI LANGU MITANDAO YA KIJAMII IZUWIE TAHARIFA KAMA HIZI KWANI ZINALETA HOFU KWA RAIA
"TUNAWE MIKONO KWA SABUNI NA MAJI TIRIRIKA, TUEPUKE MISONGAMANO NA TUSIKILIZE TARIFA NA MIONGOZO INAYOTOLEWA NA WIZARA YA AFYA TUWACHE KUSIKILIZA WAZUSHI"

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Ulivyoandika hapo mwanzo nikajua utaleta uthibitisho wa huo ukali wako kumbe umeandika tu utopolo.
 
Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi(protective gear).

Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?

Wahusika tunaomba ufafanuzi.

Video hii hapa:

Corona ni jangwa la kimataifa. Hao wahudumu wanajitahidi kujikinga maana hawana uhakika wa sababu ya hicho kifo.

NB:
Ni vizuri watu kuwa wakweli ili kuwasaidia watu wengine. Tatizo likitokea, basi watu waambiwe ni tatizo na si kuficha ficha.

Mimi naamini taarifa za wagonjwa zingewekwa wazi "japo utaambiwa ni siri ya mgonjwa" zingesaidia jamiii kubwa kujiami na hili gonjwa.
 
Back
Top Bottom