Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi(protective gear).
Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?
Wahusika tunaomba ufafanuzi.
Kitu kichafu kinachafuliwaje tena?Kiingereza hujui halafu hiyo video imekuwa manipulated na wahuni ili kuichafua serikali yetu tukufu.
Sijui wameokota wapi hiyo video halafu mnawadanganya watu hapo ni Bongo
Video ya x ndio ikoje mkuuMna uhakika mnachongelea ndio kikichomo kwenye video? Mbona kwangu imefunguka video ya X?
Jr[emoji769]
Ina ma XXXXX mengiiii....Video ya x ndio ikoje mkuu
Funika mdomo na pua kwa sehemu ya ndani ya kiwiko cha mkono unapopiga chafyaMtukufu ni Mwenyezi Mungu tu ...... naomba urekebishe hapo ili usiwakwaze wengi !!
Hii video itakuletea shida huku sio pake
Jr[emoji769]
Wewe umezaliwa nanjilinji mjini umekuja na gari la magazeti mitaa ya town utaijuaje?Umejuaje kama ni Tanzania
Video ya x ndio ikoje mkuu
Ina ma XXXXX mengiiii....
Mtaaa wa nkuruma karibu na clock tower ndugu usibishe karibu tena na jengo la boraKiingereza hujui halafu hiyo video imekuwa manipulated na wahuni ili kuichafua serikali yetu tukufu.
Sijui wameokota wapi hiyo video halafu mnawadanganya watu hapo ni Bongo
Mambo yao waachieni wenyeweUkweli utajulikana. Angalia CNN sasa hivi wanamlaumu Trump kuwa alipuuza ushauri hata kabla ya kuwa na case moja
Kuna tax ina mraba wa bluu imepita paleKabishiiii...Wewe huoni kuna daladala za bongo hapo? Umejikalia tu kama zoba!
[emoji30][emoji30][emoji30]
Jr[emoji769]
Mna uhakika mnachongelea ndio kikichomo kwenye video? Mbona kwangu imefunguka video ya X?
Jr[emoji769]
Mbona kuna askari polisi wa tanzania hapoWewe ndio zoba! Dala dala ziko wapi hapo?
Mnachokiombea hakitokei basi mnapata hasira kweli kweli, na bado mtavimba sana.
Badala ya mkazane kudai katiba mpya inayowaletea tume huru nyie mmekazana kueneza uzushi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππ[emoji30][emoji30][emoji30]
Jr[emoji769]
Sio kweli. Video ni ya Tanzania. Angalia hata tangazo la bia ya serengeti, lugha inayozungumzwa, plate number za taxi na hiyo ambulance. Hapo hakuna manipulation.
Ila sina uhakika kama hao wanaookotwa ni sababu ya corona
Amber ruttyVideo ya x ndio ikoje mkuu
Achakutuchota wewe..
Hizo plate no Umeziona wapiii..?!!
Sawa nafunika, na wewe zuia muingiliano wa watu wa Jiji la Dar lililoathirika na COVID-19 na mikoa mingine isiyo na maambukizi - hili nalo hadi ufundishwe kaka!!Funika mdomo na pua kwa sehemu ya ndani ya kiwiko cha mkono unapopiga chafya