Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Wewe ndio zoba! Dala dala ziko wapi hapo?

Mnachokiombea hakitokei basi mnapata hasira kweli kweli, na bado mtavimba sana.

Badala ya mkazane kudai katiba mpya inayowaletea tume huru nyie mmekazana kueneza uzushi.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mbwa na miakili yako ya ccm hunaona daladala na taxi za dar?!......Nchi imekosa maarifa hata kuona hamuoni??
 
Sawa nafunika, na wewe zuia muingiliano wa watu wa Jiji la Dar lililoathirika na COVID-19 na mikoa mingine isiyo na maambukizi - hili nalo hadi ufundishwe kaka!!
Sawa ndugu tuko pamoja
 
Acha ubishi mjomba tuulize sisi tuliokulia mjini huo ni mtaa wa nkurumah karibu na jengo la bora kama unapajua vizuri mitaa tuliyokulia hiyo

Funika mdomo na pua kwa sehemu ya ndani ya kiwiko cha mkono unapopiga chafya.
 
Hao watu wanaona kama movie vile eti
Bado wanarundikana tu
Mungu tusaidie tuvuke na hili janga maana sio kwa ujinga huu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
  • Thanks
Reactions: 911
Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi(protective gear).

Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?

Wahusika tunaomba ufafanuzi.

Serikali iweke wazi ili jambo tutaisha

Msijali mnachokitamani kitakuwa tu si muda mrefu maiti zitaanza kuokotwa makumi kwa mamia si corona ndo inahamia Afrika. Na sintoshangaa kwamba kwenu hali hii ikitufikia kwenu ni furaha maana either way malengo yenu kisiasa yatakuwa yametimia..
 
Hii kama ni Dar basi siyo Nkuruma Street kama kichwa cha habari kinavyosema.

Mitaa inayoungana na Nkuruma Street, na yenye lami, majengo hayo, including kule mwisho mwa balaa ambapo kuna miti, ghorofa na bango, hakuna.

Mitaa yenye lami iloyopo Nkuruma Street ni Swahili Street, Sikukuu Street na Livingston Street.

Yote hiyo haifanani na hiyo video. Unless ni sehemu nyingine ya Dar ila siyo Nkuruma Street.

Kama kuna wakazi wa maeneo hayo wanaweza dhibitisha au kupinga haya maelezo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona ni jangwa la kimataifa. Hao wahudumu wanajitahidi kujikinga maana hawana uhakika wa sababu ya hicho kifo.

NB:
Ni vizuri watu kuwa wakweli ili kuwasaisia watu wengine. Tatizo likitokea, basi watu waambiwe ni tatizo na si kuficha ficha. Mimi naamini taarifa za wagonjwa zingewekwa wazi "japo utaambiwa ni siri ya mgonjwa" zingisaidia jamiii kubwa kujiami na hili gonjwa.
Lakini hapa si wamekwenda kumchukua/kuchukua hivyo at that point hawajui chanzo cha kifo chake.
 
Back
Top Bottom