Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Video hii inayodaiwa ni Nkuruma Street, City Center jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya leo, inahusu tukio gani?

Hakuna picha inayoweza kuonyesha mtu akidondoka.
Kama clip ipo itume.

Mimi nimeongelea clip ya equador. Jamaa kasema walikuwa wanatembea wanadondoka kitu ambacho sio kweli. Kabalisha kasema Italy sasa na wewe unasema China. Daah.
China zilionyeshwa picha za watu waliokuwa wanatembea mitaani na ghafla kudondoka na kufa, na watu wakiwepo wakishuhudia tukio hilo.

Hiyo ya Ecuador sijaiona, ya China ninayo uhakika.
 
Wadau, kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya
ulitaka waende na yebo yebo?
Ni kawaida mgonjwa kuzidiwa au kufikia nyumbani kwake,itaiwa gari ya wagonjwa,na wahudumu lazima wavae zana
 
umeweka picha mnato2

weka na video yake.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..,pamoja na matangazo yote bado watu wanajikusanya.

Eeeh Mungu baba tuhurumie


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio "Taharifa" ni "Taarifa" nzi wa kijani wewe
Hii video SI YA KWELI,naomba niwe mkali kidogo NI KOSA KISHERIA KUZUSHA TARIFA ZISIZO ZA KWELI NA KULETA TAHARUKI KWA WANANCHI WENGI WATAPATA TABU KWA HII TABIA OMBI LANGU MITANDAO YA KIJAMII IZUWIE TAHARIFA KAMA HIZI KWANI ZINALETA HOFU KWA RAIA
"TUNAWE MIKONO KWA SABUNI NA MAJI TIRIRIKA, TUEPUKE MISONGAMANO NA TUSIKILIZE TARIFA NA MIONGOZO INAYOTOLEWA NA WIZARA YA AFYA TUWACHE KUSIKILIZA WAZUSHI"

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Na wewe si ujiweke lockdown kama yeye,kuna mtu kakuzuia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nakumbuka vizuri mbunge wa ccm aliwaambia wabunge wanaume kuwa wamekaa nyuma mbungeni mbele wamewaweka wanawake.
Akaongeza, wakati wa mapambano wanaume wanatakiwa waongoze mapambano.

Mkuu yeye ni jemedari wa vita iweje ajifungie afu ana amrisha toka ndani askari wapigane vita ?

Kiongozi bora anakubali afe wananchi wapone au afe pamoja na watu wake.

Hii Crip serikali itakujasema hakufa kwa corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom