Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
inasikitisha mno !siku hizi mwiguru ameacha kuvaa zile skafu zake za bendera na huyu ataacha kuvaa mashati yake yenye michoro ya bendera
Za Simbachawene zipo kwa fundi, ameomba tumpe mudasiku hizi mwiguru ameacha kuvaa zile skafu zake za bendera na huyu ataacha kuvaa mashati yake yenye michoro ya bendera
Kisu kimegusa mfupa ?Hasa Mbowe anapaswa afundishwe kuheshimu Katiba na Madaraka!
Zile zilikuwa mbwembwe za kuutafuta urais.siku hizi mwiguru ameacha kuvaa zile skafu zake za bendera na huyu ataacha kuvaa mashati yake yenye michoro ya bendera
Pole sana Lugola. Hii nchi siyo ya mwalimu na mwanafunzi wake. Ni ya watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Video haisaidii maana We are what we repeatedly DO!Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .
Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Nafikiri umechanganya ulimaanisha jiwe?Hasa Mbowe anapaswa afundishwe kuheshimu Katiba na Madaraka!
2020Tukanyage kwa adabu ardhi ya muumba.Bado baba lao atakuwa na mwisho mbaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tayari pua zimekutanuka unahema haraka-haraka umepanic [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hasa Mbowe anapaswa afundishwe kuheshimu Katiba na Madaraka!