Video hii ya Kangi Lugola inatukumbusha kwamba madaraka ni dhamana ya Muda mfupi sana, Napendekeza itumike mashuleni kufundishia

Video hii ya Kangi Lugola inatukumbusha kwamba madaraka ni dhamana ya Muda mfupi sana, Napendekeza itumike mashuleni kufundishia

Nimeamini jeshi ni nidhamu. Hao maofisa walitii na kweli wakatoka nje ila siamini kama walitoka kwa sababu ya kauli ya KL ila walitoka kwa sababu nidhamu ya utii ambayo walianza nayo toka wakifundwa.

Sipati picha ungekuwa ni umoja wa wakulima sasa mwenyekiti anataka waliochelewa warudi, nadhani patashika ingetokea hapo.
Tena kuchelewa kwa dakika 5
 
Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .

Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Huyo Kangi anaoneka hajakomaa akili, mambo ya kitoto sana hayo alokuwa akifanya
 
Siku hizi Mwigulu ameacha kuvaa zile skafu zake za bendera na huyu ataacha kuvaa mashati yake yenye michoro ya bendera
Huo ni MKUTANO MKUU WA CCM IRAMBA TAR 19/2/2020. HAPO SIKAFU HAIPO? HAKUNA SARE YA UWAZIRI HATA SKAFU HAIKUWA SARE YA UWAZIRI , NILIKUWA NAVAA HATA WAKATI NACHUNGA NG'OMBE KABLA YA KWENDA
SEKONDARI .
 
Mabaya ya mtu huonekana pale anapopata matatizo,..
Mleta mada shutuma au kesi ni kawaida,na ufaham kupata cheo fulan si wote watakupenda!ukikosea kufanya kosa basi adui zako watapata upenyo wa kukuzungumza sana...
 
Huo ni MKUTANO MKUU WA CCM IRAMBA TAR 19/2/2020. HAPO SIKAFU HAIPO? HAKUNA SARE YA UWAZIRI HATA SKAFU HAIKUWA SARE YA UWAZIRI , NILIKUWA NAVAA HATA WAKATI NACHUNGA NG'OMBE KABLA YA KWENDAView attachment 1365713View attachment 1365713 SEKONDARI .
Sawa mkuu,hongera kwa kurudi tena jukwaani humu mheshimiwa,kuna maswali mengi yaliulizwa kukulenga enzi hizo kabla uwaziri haujakuweka bize,sasa hivi nadhani utapata nafasi nzuri kabisa kuyajibu,au kuyatolea ufafanuzi,subiri tunayakusanya Mh, stay tuned.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako! Utasababisha ajali kama ya mv Bukoba. Aliimba Kalikawe
 
Wanamsubiri huko magereza kama mpira wa kona. Al-Bashir naye alikuwa zaidi,lakini leo..... Mungu atujalie hekima kutimiza wajibu wa uongozi,hata kuanzia ngazi ya familia
 
Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .

Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Sasa wanaotoka watapataje kile alichokusudia kuwaambia. Labda kama alikuwa anagawa posho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni MKUTANO MKUU WA CCM IRAMBA TAR 19/2/2020. HAPO SIKAFU HAIPO? HAKUNA SARE YA UWAZIRI HATA SKAFU HAIKUWA SARE YA UWAZIRI , NILIKUWA NAVAA HATA WAKATI NACHUNGA NG'OMBE KABLA YA KWENDA
View attachment 1365713
View attachment 1365713
SEKONDARI .
Lakini Mwigulu naona unajaribu kujishaua, sio wewe yule uliekuwa waziri wa mambo ya ndani, naona sasa hivi umekuwa kama mwananchi wa kawaida kabisa, ccm ndio kikundi cha hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani na kuongoza nchi.
 
Naona unajikomba kwa Mwigulu, nataka nikukumbushe kwamba huyo hafanyi uteuzi wowote labda akuajiri nyumbani kwake uwe houseboy
Mimi na wewe nani house boy?kuingia jf ndio ujione dunia ya kwako?
Naweza nikakulisha wewe,baba yako na mama yako,na wengine wote kwa miaka kumi...kama huamini njoo...
 
Mimi na wewe nani house boy?kuingia jf ndio ujione dunia ya kwako?
Naweza nikakulisha wewe,baba yako na mama yako,na wengine wote kwa miaka kumi...kama huamini njoo...
Hoja yangu ni wewe kujikomba, wewe ni stupid, unaingiza wazazi wagu hapa wanahusika vipi ?, popoma mkubwa wewe, endelea kulamba miguu ya hao watawala uchwara.
 
Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .

Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Hivi vyeo vya kupewa hivi ni hatari. Hata hao wakuu wa vyombo nao ni vyeo vya kupewa wanafanya hayo hayo huko maofsini kwao.
 
Mwigulu, Mungu amekulaani, uliwatesa sana watu na Inshallah Mungu akuweke kwenye list ya ICC. Umeua wengi sana. Madaraka utayaacha hapa duniani. Umewasinhizia watu ugaidi na maovu yote ukijua in uongo. Tubu dhambi zako. We ni mdhambi.
Huo ni MKUTANO MKUU WA CCM IRAMBA TAR 19/2/2020. HAPO SIKAFU HAIPO? HAKUNA SARE YA UWAZIRI HATA SKAFU HAIKUWA SARE YA UWAZIRI , NILIKUWA NAVAA HATA WAKATI NACHUNGA NG'OMBE KABLA YA KWENDAView attachment 1365713View attachment 1365713 SEKONDARI .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ngoja aende wamfanye kama alivyowafanya wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
SURATI ZUBAA  Ndio surati zubaa, pengine tumesomewa, Sivyo tusingebung'aa, wakat ( 640 X 640 ).jpg
 
Hoja yangu ni wewe kujikomba, wewe ni stupid, unaingiza wazazi wagu hapa wanahusika vipi ?, popoma mkubwa wewe, endelea kulamba miguu ya hao watawala uchwara.
Sina hakika we ni under 18,humu huwa tunaenda kwa hoja....si kupanic....kama una njaa njoo na familia yako mpate chakula.. next time uache kuropoka ovyo...ongea hoja.
 
Mwigulu, Mungu amekulaani, uliwatesa sana watu na Inshallah Mungu akuweke kwenye list ya ICC. Umeua wengi sana. Madaraka utayaacha hapa duniani. Umewasinhizia watu ugaidi na maovu yote ukijua in uongo. Tubu dhambi zako. We ni mdhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe salamu za Mzee Lwakatare
 
Back
Top Bottom