Video hii ya Kangi Lugola inatukumbusha kwamba madaraka ni dhamana ya Muda mfupi sana, Napendekeza itumike mashuleni kufundishia

Video hii ya Kangi Lugola inatukumbusha kwamba madaraka ni dhamana ya Muda mfupi sana, Napendekeza itumike mashuleni kufundishia

..
Nimeamini jeshi ni nidhamu. Hao maofisa walitii na kweli wakatoka nje ila siamini kama walitoka kwa sababu ya kauli ya KL ila walitoka kwa sababu nidhamu ya utii ambayo walianza nayo toka wakifundwa.

Sipati picha ungekuwa ni umoja wa wakulima sasa mwenyekiti anataka waliochelewa warudi, nadhani patashika ingetokea hapo.

.....Kwahii comment , naomba huende nje 🤬
 
Wewe ni Professional sasa inafikia hatua unaongozwa na mbumbumbu asiyejua kitu...hizi positions za kisiasa nyingi huwa ni majanga!!
 
Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki .

Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
Ukiwa na cheo kitumikie inavyostahili bila kumuogopa mtu wala kumuonea. Ukiogopa kuchukua hatua stahili, jambo sahihi, kwa wakati sahihi na kwa mtu sahihi kiss unaogopa eti cheo ni dhamana, huna sababu ya kukipata hata hicho cheo.
 
ujumbe wako umfikie Mwenyekiti wa ccm
 
Jiwe ndiyo anatia huruma zaidi! lkn si ajabu KL akaukwaa Urais one day! km Mwai kibaki alivo dhalilishwa na Moi.
 
Back
Top Bottom